Afisa WHO amwonya Rais wa Liberia kuhusu Ebola
Anthony Banbury akiwa kwenye kikao maalum na Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf kwenye Ikulu ya nchini hiyo.
Na Mwandishi wetu
Afisa wa Umoja wa Mataifa anayehusika na mapambano dhidi ya maradhi ya Ebola ameionya jumuiya ya kimataifa isilegeze kamba katika harakati za kuyatokomeza maradhi hayo hatari
Akizungumza baada ya kukutana na rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf mjni Monrovia Afisa huyo Anthony Banbury amesema ingawa zipo dalili za kupungua kwa maambukizi ya ugonjwa huo kila...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Oct
Ebola:Rais wa Liberia aomba ushirikiano
10 years ago
Dewji Blog18 Apr
Ebola: World Bank Group Provides New Financing to Help Guinea, Liberia and Sierra Leone Recover from Ebola Emergency
New GDP Estimates Show International Support Vital to Speed Recovery
The World Bank Group (WBG) announced today that it would provide at least US$650 million during the next 12 to 18 months to help Guinea, Liberia and Sierra Leone recover from the devastating social and economic impact of the Ebola crisis and advance their longer-term development needs. The new WBG pledge brings the organization’s total financing for Ebola response and recovery efforts to date to US$1.62 billion.
The...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82885000/jpg/_82885880_82885872.jpg)
VIDEO: WHO: Ebola in Liberia 'now over'
11 years ago
Habarileo12 Aug
Liberia yaelemewa na ebola
WAZIRI wa Habari nchini Liberia amekiri kuwa mfumo wa huduma za afya, umezidiwa kutokana na kasi ya kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa ebola nchini humo.
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82928000/jpg/_82928201_ebolaap.jpg)
Liberia's 'Goodbye Ebola' party
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73920000/jpg/_73920521_73919837.jpg)
Ebola outbreak confirmed in Liberia
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76790000/jpg/_76790070_76790063.jpg)
Liberia declares Ebola emergency
11 years ago
BBCSwahili31 Jul
Ebola: Liberia yaomba msaada
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76637000/jpg/_76637450_76607949.jpg)
Ebola: Liberia shuts all schools