Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afrika Kusini huru yatimiza miaka 20

Sherehe zafanywa kote Afrika Kusini kuadhimisha miaka 20 tangu kumalizika utawala wa ubaguzi wa rangi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAXCOM AFRIKA YATIMIZA MIAKA MITANO, YABADILI MUONEKANO WA HUDUMA YAO YA MAX MALIPO

 Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya Kitanzania ya  MaxCom Africa, inayotoa huduma za Max Malipo,  Juma Rajabu  na Mwakilishi wa Manispaa ya Kinondoni, Richard Chagula wakikata utepe kuzindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo, katika hafla iliyokutanisha uongozi wa kampuni hiyo ya Jukwaa la Wahariri, leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Mkurugnezi Mtendaji wa MaxCom Africa, watoaji wa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu akizindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Miaka 20 ya uhuru Afrika Kusini

Utawala wa wa ubaguzi wa rangi uliwafanya watu wengi weusi kuwa maskini, ikilinganishwa na wenzao weupe. Sasa maisha yamebadilika kwa raia wengi weusi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme kufungwa jela miaka 12 Afrika Kusini

Mahakama nchini Afrika Kusini imedumisha hukumu aliyopewa mfalme wa kabila la Thembu, ikisema lazima atumikie kifungo cha miaka 12.

 

10 years ago

BBCSwahili

BBC Gahuza yatimiza miaka 20

Idhaa ya BBC ya maziwa makuu imetimiza miaka 20 tangu ianze kupeperusha matangazo yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapinduzi Zanzibar yatimiza miaka 50

>Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein atawaongoza maelfu ya wananchi wa Zanzibar, kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya visiwa hivyo leo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania yatimiza miaka 50 ya Muungano

Sherehe za kuhadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zimefanyika leo mjini Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Somali land yatimiza miaka 24 ya uhuru

Somaliland yaadhimisha miaka 24 ya Uhuru lakini ni uhuru usiotambulika na Umoja wa Mataifa

 

11 years ago

GPL

MASHAUZI CLASSIC YATIMIZA MIAKA MITATU

Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya sherehe hiyo ya kutimiza miaka mitatu. Ndugu pamoja na marafiki wa Isha wakikata keki kwa pamoja.…

 

9 years ago

Global Publishers

Bendi ya SMG yatimiza miaka 4 ya uimbaji

3

Mmoja wa waimbaji wa bendi hiyo akifanya yake.1

46Picha matukio ya sherehe ya kutimiza miaka minne ya bendi ya SGM. BENDI ya Soul.

Gospel International ‘SMG’ ya Kawe jijini Dar, jana Jumapili ilisherehekea kutimiza miaka minne katika huduma ya uimbaji.

Sherehe hiyo ilifanyika katika Kanisa la Living Watels lililopo Kawe Makuti linaloongozwa na mtume Onesmo Ndegi sambamba na kusindikizwa na waimbaji kama Elly Jo, John Honore, Heleni Kijazi (mwimbaji wa taarabu), Bombi Johnson na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani