Airtel Fursa - Episode 3
Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakoawawezesha kuimarisha biashara zao.Bofya hapa: goo.gl/ECdVkc na wewe ukamate fursa na Airtel
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziAirtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza
Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akimkabidhi jokofu kijana Mariam Mrisho (wa...
9 years ago
MichuziAIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa
Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa. Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...
9 years ago
GPLWAJASIRIAMALI WALIOWEZESHWA NA AIRTEL FURSA WATEMBELEA OFISI ZA AIRTEL ZILIZOPO JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Sunil Colaso akiangalia bidhaa aliyopokea kutoka kwa Marius Mutashobelwa mkazi wa Mbeya, ambaye ni miongoni mwa vijana waliowezeshwa na Airtel FURSA walipotembelea ofisi za Airtel jijini Dar es Salaam na kupata mafunzo ya kuendeleza biashara zao mwishoni mwa wiki hii. Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Sunil Colaso akisalimiana na vijana waliowezeshwa na Airtel Kupitia mradi wake wa Airtel...
9 years ago
MichuziAirtel yabadilisha maisha ya vijana na Airtel Fursa Tunakuwezesha
Kijana Iddy Abdallah Chilumba, akionyesha baadhi ya bidhaa zake anazotengeneza na kuziuza baada ya kuwezeshwa na Airtel Kupitia mpango wake wa Airtel Fursa Tunakuwezesha .Misaada hiyo ikiwemo mashine ya kubangulia korosho, meza maalum kwa kazi hiyo, vifaa mbalimbali na pikipiki mpya inayomrahisishia katika nyanja ya usambazaji wa bidhaa hizo. Airtel Tanzania imejikita katika safari ya kuwezesha vijana hapa nchini na kuweza kubadili maisha yao kupitia nyanja ya ujasiriamali kupitia mradi...
10 years ago
GPLAIRTEL FURSA WATOA ZAWADI
Meneja huduma kwa jamii (wa pili kulia) bi Hawa Bayumi akiongea na Mariana Magombela huku wakishuhudiwa na ndugu wa Mariana na wafanyakazi wa Airtel mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya pikipiki, banda la kukaushia samaki na vifaa vingine vingi, ambaye ni miongoni mwa vijana waliowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha†uliozinduliwa miezi miwili iliyopita jiji Dar Es Salaam. Meneja huduma kwa… ...
10 years ago
MichuziAIRTEL FURSA YATUA MWANZA
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na vijana
wa Mwanza wakati wa uzinduzi wa warsha maalum kwa vijana ya'Airtel
Fursa' kutoka Airtel Tanzania yenye lengo la kuwawezesha Vijana
wajasiliamali nchini iliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya jiji
Mwanza. Baadhi ya vijana wa mwanza wakifuatilia kwa makini mafunzo yalikuwa
yakiendeshwa na Airtel Fursa yenye lengo la kuwawezesha vijana kupata
mafunzo kwenye usimamizi wa fedha, upatikanaji wa mikopo, kufungua
akaunti ya...
wa Mwanza wakati wa uzinduzi wa warsha maalum kwa vijana ya'Airtel
Fursa' kutoka Airtel Tanzania yenye lengo la kuwawezesha Vijana
wajasiliamali nchini iliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya jiji
Mwanza. Baadhi ya vijana wa mwanza wakifuatilia kwa makini mafunzo yalikuwa
yakiendeshwa na Airtel Fursa yenye lengo la kuwawezesha vijana kupata
mafunzo kwenye usimamizi wa fedha, upatikanaji wa mikopo, kufungua
akaunti ya...
9 years ago
GPLAIRTEL FURSA YAFIKIA VIJANA WA MTWARA
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akimkabidhi kijana Godfrey Frank Manjavila, msaada wa pikipiki ya magurudumu matatu aina ya Toyo, malighafi na vifaa mbali mbali vya kutengenezea sabuni, kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla fupi iliyofanyika nyumbani kwao, katika eneo la Shangani, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Mama yake mzazi, Aziza Nachenda (kushoto),...
9 years ago
MichuziVIJANA WA IRINGA WAWEZESHWA NA AIRTEL FURSA
Mshiriki wa mafunzo ya Airtel Fursa mkoani Iringa Bi Fatuma Mkini (kushoto ) akipokea cheti cha ushiriki wa mafonzo hayo kutoka kwa afisa mahusiano na matukio wa Airtel Bi Dangio Kaniki mara baada ya mafunzo ya Airtel Fursa kumalizika mkoani Iringa kwa vijana zaidi ya 200 kushiriki. Vijana washiriki wa mafunzo ya siku moja ya Airtel Fursa mkoani Iringa wakimsikiliza afisa mahusiano na matukio wa Airtel Bi Dangio Kaniki (kulia) wakati wa ufungizi wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania