Airtel Fursa yawafikia wajasiliamali wadogo wadogo Dodoma
![](http://3.bp.blogspot.com/--4A5Xuf5zcI/VlLE7umcwiI/AAAAAAAIH6I/Z9ZxQRGW2AA/s72-c/72dd4ee1-092f-4199-bb9d-0dc02687ea98.jpg)
Vijana nchini wametakiwa kuzitumia fursa zilizopo kupitia mpango wa airtel fursa ulioanzishwa na kampuni ya simu za mikononi ya Airtel wenye lengo la kuwawezesha wajasiriamali kujikwamua kiuchumi na hatimaye kufikia malengo yao kimaendeleo. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki katika semina ya wajasiliamali wadogowadogo iliyoandaliwa na Airtel mkoani Dodoma kupitia mradi wake wa Airtel Fursa ambapo mwezeshaji wa semina hiyo alikuwa Dokta Robert Mashenene ambae ni mtaalam wa maswala ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKABIDHI FEDHA ZA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO,MJINI DODOMA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4MBFlBxiwig/XmojeQgoIOI/AAAAAAALiwc/8mD9ccHzgqQ8rAcRyrvWWlilEmDLm5WZACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200312_104115_9.jpg)
SERIKALI YAWAPUNGUZIA MZIGO WAJASILIAMALI WADOGO, KUSAJILI KEMIKALI KWA SH.ELFU KUMI
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko wakati akifunga mafunzo kwa wajasiliamali wadogo jijini Dar es Salaam leo huku akitoa vyeti kwa kila mshiriki wa mafunzo hayo juu matumizi sahihi ya kemikali wanazotumia kutengeneza bidhaa mbalimbali.
"Kwa kila kemikali kwa...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Kampeni ya GROW yaendesha mdahalo wa kuhamasisha wakulima wadogo wadogo wanawake
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0AEqUsFVPPk/U2rqs0siQdI/AAAAAAAA-bE/-F-_grJSfUQ/s72-c/magori.jpg)
NSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA WAMADINI-MWANZA
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Pinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni...
10 years ago
VijimamboTBL YAANZISHA PROGRAMU YA MAFUNZO YA KUENDELEZA WAUZAJI WADOGO WADOGO WA VINYWAJI VYAO NCHINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
BENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA
10 years ago
Vijimambo02 Oct
KAMPENI YA HAKI YA UCHUMI KATIKA MASWALA YA KILIMO YAENDESHA MDAHALO WA KUHAMASISHA WAKULIMA WADOGO WADOGO HUSUSANI WANAWAKE.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XRAKotIqdZE/U0kha_vRNgI/AAAAAAACevM/XhaUNx7sdjo/s72-c/7.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ATEMBELEA MJI WA KIHISTORIA WA UJIJI,AKUTANA NA WAVUVI WADOGO WADOGO ZIWA TANGANYIKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-XRAKotIqdZE/U0kha_vRNgI/AAAAAAACevM/XhaUNx7sdjo/s1600/7.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Q4_5d-ktbz0/U0khdZQCUTI/AAAAAAACevc/muPqJDc95gY/s1600/9.jpg)