AIRTEL FURSA YAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA MKULIMA WA MBOGAMBOGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-bweECp3x0Dw/Vm6Lz_82WbI/AAAAAAAIMQo/QcbTuNDligQ/s72-c/PICT%2B1.jpg)
Meneja masoko wa kampuni ya Airtel kanda ya Ziwa, Emmanuel Raphael (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na kijana Innocent Aloyce baada ya kumkabidhi zawadi ya Toyo, alipomtembelea katika shamba lakemkoani Mwanza wilaya ya Misungwi ambaye ni miongoni mwa vijana waliowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha” kwa nyanja mbalimbali miezi sita iliyopita.
Meneja masoko wa kampuni ya Airtel kanda ya Ziwa, Emmanuel Raphael (kushoto) akimwangalia kijana Innocent Aloyce baada...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziAIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa
9 years ago
MichuziAirtel yabadilisha maisha ya vijana na Airtel Fursa Tunakuwezesha
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/PICT-12.jpg?width=650)
AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI
9 years ago
GPLAIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI
9 years ago
MichuziAIRTEL YAENDELEA KUFUNGUA FURSA KWA VIJANA HAPA NCHINI
Mafunzo hayo ya biashara ambayo yamekuwa yakiendeshwa hapa nchini katika mikoa mbali mbali , wiki ijayo yatafanyika Dar Live Mbagala Kuu karibu na Big Bon siku ya Jumanne tarehe 15 ili kuwawezesha vijana kuweza...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CaHbzy6ig3U/VmFdd7z-F4I/AAAAAAAIKIw/Sv0IOLPnv2I/s72-c/PICT%2B1.jpg)
AIRTEL FURSA YABADILISHA MAISHA YA KIJANA MFUGA KUKU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-CaHbzy6ig3U/VmFdd7z-F4I/AAAAAAAIKIw/Sv0IOLPnv2I/s640/PICT%2B1.jpg)
Afisa Uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki (kushoto) na Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (katikati) wakipima uzito wa kuku wa kienyeji wanaofugwa kisasa na kijana Mohamed Kigumi (kulia), anayeishi Kiluvyia jijini Dar Es Salaam baada baada ya kutembelewa nyumbani kwao na kuona maendeleo aliyoyapata baada ya kuwezeshwa na Airtel kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’ miezi sita iliyopita.
![](http://3.bp.blogspot.com/-4e0lO2FTu80/VmFdd2XnfZI/AAAAAAAIKIs/5U_cidYEpfM/s640/PICT%2B3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--I0FqnOl0i8/VZOU1dM2D8I/AAAAAAAHmHQ/4EMmq8jci-0/s72-c/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza
![](http://4.bp.blogspot.com/--I0FqnOl0i8/VZOU1dM2D8I/AAAAAAAHmHQ/4EMmq8jci-0/s640/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NLAxHtDkgT4/VZOU4trpdDI/AAAAAAAHmHg/UKCqdnXBI8o/s640/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
11 years ago
GPLAIRTEL KUBORESHA MITAMBO YA HUDUMA YA AIRTEL MONEY MWISHONI MWA WIKI HII
11 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZZ.......:Airtel kuboresha mitambo ya huduma ya Airtel money mwishoni mwa wiki hii
Maboresho...