Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL "SMART PHONE" OFA PATA SAMSUNG S5 LEO

Ofisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde akionyesha simu aina ya Samsung S5 mara baada ya kuzindua ofa itakayowawezesha wateja wake kununua simu hiyo na kujipatia vifurushi vya muda wa maongezi, sms pamoja na data bure. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza ofa kabambe inayowawezesha wateja wake kununua simu ya kisasa ya aina Samsung S5 na kupata vifurushi vya muda wa maongezi, sms pamoja na data bure. Akiongea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Airtel "Smart Phone" Ofa Pata Samsung S5 Leo

Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde akionyesha simu ya Aina ya Samsung S5 mara baada ya kuzindua ofa itakayowawezesha wateja wake kununua simu hityo na kujipatia vifurushi vya muda wa maongezi, sms pamoja na data bure.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza ofa kabambe inayowawezesha wateja wake kununua simu ya kisasa ya aina Samsung S5 na kupata vifurushi vya muda wa maongezi, sms pamoja na data bure.
Akiongea wakati wa kutangaza ofa hiyo Afisa Uhusiano wa Airtel bi Jane...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY‏

Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money. Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
· Wateja kupata bonus ya LUKU pale watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel money Dar es Salaam, Mei 5th 2014 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money

Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha wateja wake kupata LUKU Bonus kila wakati watakaponunua LUKU kupita huduma Airtel Money.  ofi hii ni mwendelezo wa dhamira ya Airtel katika kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora nchini.
Akiongea kuhusu ofaa hii Meneja wa kitengo...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatangaza ofa kabambe - Nunua Airtel HOME Wi-Fi na upate nyingine ya BURE

Ofisa uhusiano na Matukio wa Airtel, Bi Dangio Kaniki akionyesha kifaa cha HOME Wi-Fi wakati wa kutangaza ofa kabambe ya Sabasaba itakayo wawezesha watanzania kupata kifaa cha bure cha ziada pindi watapokinunua katika viwanja vya maonyesho ya Sabasaba. Pichani, Afisa Masoko wa Airtel ,Ndevonaeli Eliakimu.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza ofa kabambe katika viwanja vya Sabasaba itakayomwezesha mteja kununua kifaa cha HOME Wi-Fi, chenye uwezo wa kuunganisha zaidi ya vifaa...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATANGAZA OFA KABAMBE NUNUA AIRTEL HOME WI-FI NA UPATE NYINGINE YA BURE‏

Ofisa uhusiano na Matukio wa Airtel, Bi Dangio Kaniki akionyesha kifaa cha HOME Wi-Fi wakati wa kutangaza ofa kabambe ya Sabasaba itakayo wawezesha watanzania kupata kifaa cha bure cha ziada pindi watapokinunua katika viwanja vya maonyesho ya Sabasaba. Pichani, Afisa Masoko wa Airtel ,Ndevonaeli Eliakimu. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza ofa kabambe katika viwanja vya Sabasaba itakayomwezesha mteja kununua...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL KENYA YAJA NA OFA KABAMBE YA ONE AIRTEL‏

Nairobi, Oktoba 21, 2015 – KAMPUNI inayoongoza katika mawasiliano ya simu, katika nchi 20 za Afrika na Asia, Airtel, imeboresha huduma yake ya roaming services kwa kuanzisha malipo ya mlingano yenye nafuu kubwa kwa wateja wake wanaosafiri katika bara la Afrika kutokea Kenya. Huduma hiyo ya ‘One Airtel’ inamwezesha mteja mgeni kutoka nje kutumia SIMkadi yake kupata huduma mbalimbali za Airtel kwa bei ya nchi husika huku...

 

10 years ago

Vijimambo

PATA OFA YA VALENTINE'S KUTOKA AK CLASSIC COSMETICS

Baadhi ya bidhaa zilizoandaliwa kwa ajili ya wapendanao.
MABINGWA wa kuuza vipodozi vya ukweli, AK Classic Cosmetics wamewaandalia Valentine's Special wale wote wanaowajali na kuwaenzi wapenzi wao.
OFA: Ukinunua bidhaa zozote zitakazofikia kiasi cha shilingi laki moja, utapata kifurushi cha bure cha zawadi za Valentine's na ofa hii itaendelea mpaka mwishoni mwa mwezi huu.
Pata package maalum kwa ajili ya mpenzi wako kwa bei ya punguzo kabisa.
Bidhaa pendwa za Victorias Secrets, Lotion,...

 

10 years ago

GPL

PATA OFA YA VALENTINE'S KUTOKA AK CLASSIC COSMETICS

Baadhi ya bidhaa zilizoandaliwa kwa ajili ya wapendanao. MABINGWA wa kuuza vipodozi vya ukweli, AK Classic Cosmetics wamewaandalia Valentine's Special wale wote wanaowajali na kuwaenzi wapenzi wao. OFA: Ukinunua bidhaa zozote zitakazofikia kiasi cha shilingi laki moja, utapata kifurushi cha bure cha zawadi za Valentine's na ofa hii itaendelea mpaka mwishoni mwa mwezi huu. Pata package maalum kwa ajili ya mpenzi wako kwa bei...

 

10 years ago

TheCitizen

Smart way to combat phone theft needed

Too many Americans have been there: confronted on sidewalks, reaching for their wallets, only to learn that the thieves are most interested in their smartphones. Spending hundreds to replace these indispensable tools is bad enough. Worrying that criminals might have access to sensitive data is worse.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani