Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel yakarabati duka jingine kisiwani Zanzibar, Wateja kufurahia huduma bora kutoka Airtel kisiwani Zanzibar.

Airtel Tanzania imefungua duka lake la kisasa kisiwani Zanzibar lililopo mtaa wa Mlandege lenye uwezo wa kuhudumia wateja zaidi ya 100 kwa siku. Ni duka la kisasa ambalo lipo karibu na wateja lenye kurahisisha maisha ya wateja wote wa Airtel kisiwani Zanzibar.  Akizungumza katika uzinduzi wa duka hilo Mkurugenzi kwa huduma kwa wateja , Bi Adriana Lyamba alisema, "kwamba kupanua kwetu kwa huduma za mtandao kwa wateja wetu ni ishara tosha ya kuonyesha ni jinsi gani Airtel inajali wateja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App"  Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...

 

11 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL KULIPA MIKOPO YA MASOMO KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY

Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu Bwana Juma Chagonja akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma itakayowawezesha wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini kurejesha mikopo yao kupitia huduma ya Airtel Money, kushoto ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde. Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma itakayowawezesha wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini kurejesha mikopo yao...

 

11 years ago

Michuzi

Wateja wa Airtel kulipa mikopo ya masomo kupitia huduma ya Airtel Money

Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu Bwana Juma Chagonja akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma itakayowawezesha wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini kurejesha mikopo yao kupitia huduma ya Airtel Money, kushoto ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde. Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma itakayowawezesha wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini kurejesha mikopo yao kupitia huduma ya Airtel Money kulia pichani ni Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Wateja wa Airtel kununua Tiketi za Ndege za Precicsion Air kupitia huduma ya Airtel Money

Meneja Uendeshaji wa pitiaAirtel Money Asupya Naligingwa (kushoto) akiongea wakati wa uzinduzii wa ushirikiano kati ya Airtel na Precision Air utakaowawezesha wateja wa Airtel kulipia tiketi za ndege kupitita huduma ya Airtel Money. akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde na na Afisa masoko wa Precision Air Hillary Mremi Meneja Uendeshaji wa pitiaAirtel Money Asupya Naligingwa (kushoto) na Afisa masoko wa Precision Air Hillary Mremi (kulia) kwa pamoja wakizindua...

 

11 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL KUNUNUA TIKETI NA NDEGE ZA PRECISION AIR KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY

Meneja Uendeshaji wa pitiaAirtel Money Asupya  Naligingwa (kushoto)  na Afisa masoko wa Precision Air Hillary Mremi (kulia) kwa pamoja wakizindua ushirikiano kati ya Airtel na Precision Air utakaowawezesha wateja wa Airtel kulipia tiketi za ndege kupitita huduma ya Airtel Money. akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde
Meneja Uendeshaji wa pitiaAirtel Money Asupya  Naligingwa (kushoto) akiongea wakati...

 

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI - Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM

 Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu
 Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa baadhi ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Tanzania yatangaza wagonjwa 7 wapya kisiwani Zanzibar

Wizara ya Afya kisiwani Zanzibar imetangaza wagonjwa saba wapya wa virusi vya corona .

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Idadi ya wagonjwa yaongezeka hadi 24 kisiwani Zanzibar Tanzania

Waziri wa Afya kisiwani humo Hamad Rashid Mohamed amesema kwamba wagonjwa wote ni raia wa Tanzania na hawana historia ya kusafiri .

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI KISIWANI UNGUJA,KESHO KUWASILI KISIWANI PEMBA.

Pichani juu na chini ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Baadhi ya wakazi wa mji wa Kizimkazi waliofika katika uwanja wa Kizimkazi Mkunguni,Wilaya ya Kusini Unguja kumsikiliza.Ndugu Kinana ambaye leo anaikamilisha ziara yake ya siku kumi katika kisiwa cha Unguja akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,katika suala zima la kuimarisha uhai wa chama na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.Mkutano wa hadhara ukiendelea katika uwanja wa Kizimkazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani