Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAMWAGIA WAHARIRI VIFAA VYA MICHEZO

Meneja Uhusiano wa  Airtel, Jackson Mmbando,akiongea na waandishi wa habari  wakati wa   kukabidhi  vifaa vya michezo kwa Jukwaa la wahariri  kwaajili ya  mechi kati yao na timu ya waandishi wa mkoa wa Mtwara itakayofanyika ijumaa  tarehe 11 Julai mkoani Mtwara. Pichani ni  Nahodha wa timu ya wahariri Bwana Kulwa Karedia.
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akimkabithi Nahodha wa timu ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Airtel yakabidhi vifaa vya michezo

 Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya soka ya vijana wa TFF Ayoub Nyenzi  kwa ajili ya mashindano ya Airtel Rising Stars yanayotariwa kuanza kutimua vumbi ngazi ya mkoa Jumapili ijyayo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jana jijini Dar-es-Salaam.·          Saidi Meck Sadiki mgeni ramsi ufunguzi Jumapili.
Airtel Tanzania Jana Alhamis Julai 24, 2014 imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu 18 za wavulana zinazoshiriki...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh mil 15 kwa chuo kikuu cha Dar es saalam

 Meneja Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (kushoto) akikabidhi jezi kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya, wakati Airtel ilipokikabidhi chuo hicho msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa pili kushoto) na Mratibu wa...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon  Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo. Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis Tembo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi...

 

9 years ago

Habarileo

Makamu wa Rais akabidhi vifaa vya michezo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amekabidhi vifaa vya michezo kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki.

 

10 years ago

GPL

LAPF YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO MANISPAA YA KINONDONI

Isaya Mwakifulefule akikabidhi vifaa. Wajumbe wa Bodi ya Manispaa ya Kinondoni wakikabidhiwa vifaa vya michezo kwa timu ya Kinondoni. Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Musa Nati, akizungumza kabla ya kukabidhiwa vifaa vya michezo na Mfuko wa Pensheni wa…

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA POLISI


Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

10 years ago

Michuzi

CRDB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VIONGOZI WA DINI

Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB, imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya Kamati ya Amani na ushirikiano ikiwa ni maandalizi ya mechi baina ya viongozi wa madhehebu ya dini.
Mtanange wa viongozi hao unatarajiwa kufanyika Oktoba 12, mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuadhimisha siku ya amani duniani.
Akizungumza wakati wa kukabidhi jezi na hundi ya sh. milioni tano  ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya wateja, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani