Ajali yaua mgombea Chadema Lushoto
Mgombea ubunge wa jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kwa tiketi ya Chadema, Mohamed Mtoi amefariki baada ya gari lake kupinduka wakati akitokea kwenye kampeni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUSHOTO KWA CHAMA CHA CHADEMA MOHAMMED MTOI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI
Mgombea wa Ubunge, jimbo la Lushoto kwa ticket ya CHADEMA (Mohamed Mtoi) kafariki dunia katika ajali ya gari aliyopata baada ya kutoka kuzindua Kampeni yake tarafa ya Mlola. Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla. Gari alilopata nalo ajari marehemu
Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi
Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Ajali yaua wawili, kujeruhi 15 Lushoto
Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 Â kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Longoi Kata ya Mtae wilayani Lushoto jana majira ya saa 11.00 jioni.
9 years ago
Dewji Blog23 Sep
Mgombea mwenza Bi. Samia Suluhu amnadi Dk. Magufuli Wilaya za Korogwe na Lushoto
Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo mjini Korogwe, Mkoa wa Tanga.
Mgombea mwenza nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii na wananchi wengine alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi leo Mjini Korogwe ambapo alifanya mkutano wa kampeni.
Mgombea mwenza nafasi ya urais wa Chama Cha...
9 years ago
MichuziWATU ZAIDI YA KUMI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA LORI KUPINDUKA WILAYANI LUSHOTO
Watu zaidi ya 10 wahofiwa kufariki Dunia eneo la Soni, Lushoto Mkoani Tanga kufuatia ajali ya Fuso iliyotokea kwenye Maulidi kuanguka nakubiringika bondeni. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa. sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia tukio la ajali hiyo iliyotokea Soni,Lushoto mkoani Tanga Baadhi ya mashuhuda wakitazama Lori hilo lililopelekea vifo vya watu zaidi ya kumi baada ya kupinduka na kubiringika bondeni,huko Soni,Lushoto mkoani Tanga
10 years ago
MichuziMKUTANO MKUU WA CHADEMA WAMPITISHA BILA KUPINGWA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU YA CCM,NDUGU KINANA YAIBOMOA NGOME YA CHADEMA WILAYANI LUSHOTO.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pongezi Ndugu Ismail Semkunde aliyekuwa Mwenyekiti wa Jimbo la Mlalo Chadema na kuamua kurejea CCM. Mzee Julius Kavurai aliyekuwa Katibu wa Jimbo la Mlalo Chadema akiwapungia mkono wananchi kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye yupo kwenye ziara wilayani Lushoto ya kujenga na kukiimarisha chama pamoja na kuangalia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010 inavyoendelea. Mzee Charles Kagonji...
10 years ago
VijimamboYALIYOJIRI KWENYE MKUTANO MKUU WA CHADEMA ULIOFANYIKA LEO NA KUWAPITISHA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA
Mkutano Mkuu wa CHADEMA ulianza kwa kuimba nyimbo ya taifaShehe Rajabu Katimba akiomba Dua wakati wa mkutano mkuu wa CHADEMA uliofanyika leo Mchungaji Zakaria Kakobe akitoa neno la mungu wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh. Salum Mwalim akifungua mkutano wa Baraza kuu uliofanyika leo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Freeman Mbowe akisoma hutuba katika mkutano mkuu wakati wa mkutano mkuu uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mlimani...
Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh. Salum Mwalim akifungua mkutano wa Baraza kuu uliofanyika leo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Freeman Mbowe akisoma hutuba katika mkutano mkuu wakati wa mkutano mkuu uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mlimani...
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Ajali yaua 21
WATU 21 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Mkupuka, Kibiti, wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani. Watu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania