Ajali zaua watu watatu Dar
WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti ya ajali za barabarani, ikiwemo mwendesha pikipiki, Arnold Lukoga (38) aliyekufa baada ya kuangukia kichwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke,Dar es Salaam, Engelbert Kiondo alisema ajali hiyo ilitokea jana saa 2:30 usiku katika Barabara ya Nyerere eneo la Tazara.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo09 Apr
Ajali zaua watu wanne Dar
WATU wanne wamekufa katika matukio matatu tofauti jijini Dar es Salaam ya ajali za barabarani, ikiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza aliyetambuliwa kwa jina la Ally Hamadi (13) kufa baada ya kugongwa na gari akivuka barabara.
11 years ago
Habarileo03 May
Ajali zaua watu 4 Dar es Salaam
WATU wanne wamekufa katika matukio matatu tofauti jijini Dar es Salaam, kutokana na ajali za barabarani, ikiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Ally Hamadi (13) kugongwa na gari akivuka barabara.
9 years ago
Mwananchi27 Sep
Ajali zaua watatu Tanga, Singida
10 years ago
GPLWATU WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI DAR
10 years ago
Habarileo06 Sep
Ajali mbili zaua watu 47
AJALI za barabarani zimeendelea kugharimu uhai wa Watanzania, baada ya jana watu 44 kufa katika ajali mbili zilizotokea katika mikoa ya Mara na Rukwa. Kati yao, 36 wamekufa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili katika eneo la Sabasaba, wilayani Butiama katika mkoa wa Mara wakati wengine wanane wamekufa katika ajali ya lori aina ya Mitsubishi Fuso.
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
Ajali zaua watu 103
NA WILLIAM SHECHAMBO
WATU 103 wamefariki na 138 kujeruhiwa kwenye ajali tisa za barabarani zilizotokea hivi karibuni katika maeneo mbalimbali nchini.
Sababu kuu iliyoelezwa kusababisha ajali hizo ni uzembe wa madereva na abiria.
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohammed Mpinga, aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana na kutoa tahadhari kwa abiria kutimiza wajibu wao ikiwa pamoja na kutowatetea madereva wazembe.
Alisema kikosi hicho kimeshitushwa na ajali...
10 years ago
Habarileo19 Feb
Ajali za kemikali zaua watu 14
WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), umesema mwaka jana kumetokea matukio ya ajali za kemikali 11 zilizosababisha vifo vya watu zaidi ya 14 na uharibifu wa tani zaidi ya 250 za kemikali.
11 years ago
Habarileo20 Apr
Ajali zaua watu saba
WATU saba wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali za barabarani na majini wilayani Bunda Mkoa wa Mara.
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Ajali za bodaboda zaua watu 870