AJIRA KWA WATOTO BADO TATIZO KUBWA MASASI
Mtoto anayesoma darasa la pili wilayani Masasi, Mtwara akifanya biashara ya kuuza mayai ambayo ametumwa na mzazi wake. (Picha na Mdau kutoka Masasi)
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Jan
Tatizo la watoto kuungua bado kubwa nchini
TATIZO la watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kuungua, limetajwa kuwa kubwa, kutokana na kile kilichoelezwa ni uzembe wa ama wazazi au walezi.
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
Tatizo la ajira kwa watoto migodini TZ
10 years ago
Habarileo11 Feb
Waziri: Ukeketaji bado ni tatizo kubwa
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema ukatili wa kijinsia bado ni changamoto kubwa nchini ambapo suala la ukeketaji bado linatisha huku utafiti ukionesha kwamba kati ya wasichana watano, wawili wanaolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 18.
10 years ago
Habarileo07 Nov
Kasi ya kutelekeza wake, watoto Zanzibar bado kubwa
TATIZO la wanaume kutelekeza wanawake na watoto limetajwa kushika nafasi ya pili katika vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia baada ya ubakaji Zanzibar.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ff0dlX_96GU/VDjGIB4rX8I/AAAAAAAGpEQ/4Yn-1Oo5RFE/s72-c/GD1.jpg)
GODTEC yasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa Vijana
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ff0dlX_96GU/VDjGIB4rX8I/AAAAAAAGpEQ/4Yn-1Oo5RFE/s1600/GD1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qFsKhkqaVco/VDjGH1FEtHI/AAAAAAAGpEM/U7xbAvx-DOo/s1600/GD2.jpg)
10 years ago
MichuziBENKI YA NBC YASAIDIA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
10 years ago
Michuzi11 Apr
TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.
![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
11 years ago
Tanzania Daima01 May
DK. JUMA MWAKA: Tatizo la mfumo wa uzazi kwa wanawake ni kubwa
“MGONJWA akija na matatizo ya mfumo wa uzazi, chakula, mishipa ya moyo na mifupa…huwa sina wasiwasi kabisa kwa sababu najua lazima atapata tiba ya uhakika.” Hiyo ni kauli ya Daktari...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar12 Oct
Nchi pekee duniani kwa hivi sasa ambayo kuokota makopo imegeuka ni ajira kubwa sana kwa vijana ni Tanzania.
Siku za hivi karibuni hapa nchini Tanzania ,vijana wengi mitaani wamekuwa wakijipatia kipato chao cha mkate wao wa kila siku kupitia kazi ya kuokota makopo yaliyotupwa na watumiaji ambayo awali yalikuwa na vinywaji aina tofauti tofauti,vijana […]
The post Nchi pekee duniani kwa hivi sasa ambayo kuokota makopo imegeuka ni ajira kubwa sana kwa vijana ni Tanzania. appeared first on Mzalendo.net.