‘Ajirini madereva waliyosomea’
WAMILIKI wa magari na malori wametakiwa kuajiri madereva mahiri na stadi waliyosomea kazi hiyo ili kupunguza ajali zinazoendelea kutokea nchini. Rai hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na Masoko...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Nov
Wenye kampuni ajirini vijana wa Tanzania - Kigoda
SERIKALI imewataka watendaji na wamiliki wa makampuni mbalimbali ya ndani na nje nchi, kuacha tabia ya kutoa nafasi nyingi za ajira kwa wageni na badala yake wawatumie vijana wa Tanzania wanaohitimu masomo katika vyuo mbalimbali hapa nchini.
10 years ago
Dewji Blog22 Jun
PSPF watoa elimu kwa madereva taxi wa wilaya ya Ilala na madereva kujiunga na mpango wa hiari
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar
Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s72-c/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s640/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
10 years ago
VijimamboMFUKO WA PENSHENI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI
10 years ago
MichuziMFUKO WA PESHNI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI