Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Al-Shabaab wafanya mauaji ya kutisha Kenya

Kundi la Al-shabaab

Kundi la Al-shabaab

MANDELA, Kenya

MAUAJI ya kutisha yameendelea kutikisa nchini Kenya baada ya jana asubuhi kundi la wanamgambo la Al-Shabaab kuua watu 36 katika machimbo ya mawe huko Koromey, Kaunti ya Mandera.

Watu waliouawa wote hawakuwa Waislamu na wengi wao wanatoka eneo la Chaka, Kiganjo katika Kaunti ya Nyeri.

Shambulio hilo baya lililotokea karibu na mpaka wa Somalia limekuja ikiwa ni wiki moja tu baada ya kundi hilo kuua watu wengine 28 kwenye kaunti hiyo.

Watu hao waliuawa baada...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mauaji ya kutisha

Alisubiri mlinzi aje kufungua. Wenzake walikuwa waameshasogea gizani ili wasigundulike na mtu yeyote atakayekatiza katika eneo hilo. Mlinzi alisikia wakati geti likigongwa, akasogea taratibu simu yake ambayo alikuwa akisikiliza redio.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauaji ya kutisha Musoma

WATU watano wameuawa kikatili kwa kuchinjwa, kukatwa mapanga katika mfululizo wa matukio ya mauaji ya kinyama yanayoendelea kutokea katika wilaya  za Musoma, Butiama na Rorya mkoani Mara. Kibaya zaidi, mauaji...

 

9 years ago

GPL

MAUAJI YA KUTISHA BAKWATA

Deogratius Mongela na Chande AbdallahI NAUMA sana! Katika hali isiyo ya kawaida, mkazi wa Kata ya Mwembe Mkavu, Wilaya ya Bagamoyo, Pwani, Ramadhani Mloli (37) amemuua mkewe, maarufu kwa jina la Mama wa Naironi kwa kumchoma visu sehemu mbalimbali za mwili kisha na yeye kujiua kwa kisu pia.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1KJml9j

 

11 years ago

Mwananchi

Mauaji ya kutisha dhidi ya wanawake

>Katika hali inayoashiria ukatili wa kutisha, wanaume watatu katika maeneo tofauti nchini, wamewaua wake zao kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauaji ya kutisha yazuka tena Geita

MAUAJI ya kikatili yameibuka tena mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kuvamia maeneo matatu usiku wa Aprili 27 na kuwaua kwa kuwachinja na kutenganisha viungo vyao watu watatu kwa imani...

 

10 years ago

Mwananchi

Mauaji ya kutisha Kigoma, saba wateketezwa

Watu saba wameuawa kwa kuchomwa moto ndani ya nyumba katika tukio ambalo nyumba 18 ziliteketezwa na mbili kubomolewa na wananchi waliodai wanawaua wachawi katika Kijiji cha Murufiti, Kasulu, mkoani Kigoma.

 

9 years ago

Michuzi

MUTUHUMIWA WA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA MKOANI ARUSHA AKAMATWA


Na Woinde  Shizza, 
wa libeneke la kaskazini blog

Mtuhumiwa mauaji ya kutisha ya kumkata viungo vya mwili marehemu zikiwemo sehemu za siri, viganja vya mikono na matiti mauaji yaliotokea kwenye hotel ya A Square Belmot amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas (pichani)  alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini hapa....

 

9 years ago

Michuzi

MTUHUMIWA WA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA MKOANI ARUSHA AKAMATWA

Na Woinde Shizza, wa libeneke la kaskazini blogMtuhumiwa mauaji ya kutisha ya kumkata viungo vya mwili marehemu zikiwemo sehemu za siri, viganja vya mikono na matiti mauaji yaliotokea kwenye hoteli ya A Square Belmot amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini Arusha.
Sabas ...

 

10 years ago

GPL

ISIS WAENDELEA KUFANYA MAUAJI YA KUTISHA HUKO SYRIA NA IRAQ

Mpiganaji wa ISIS akinyanyua tofali la zege kumpiga mmoja wa wanaume waliokamatwa kwa kuua wanawake. Adhabu ya kuwapiga mawe wanaume waliokamatwa kwa mauaji ya wanawake watatu ikiendelea huko Iraq. Mmoja wa watuhumiwa wa uchawi akiwa tayari kuchinjwa na Kundi la ISIS huko Raqqa, Syria.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani