Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alat yatoa msimamo urais 2015

Jumuiya ya Serikali za MitaaTanzania (Alat), imetangaza kumuunga mkono mgombea urais atakayeonyesha kwa dhati kuwa tayari kuimarisha utendaji serikali za mitaa kwa kutekeleza sera ya ugatuaji madaraka kutoka juu kwenda kwa wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

ALAT yakana kumbeba Pinda urais wa 2015

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Na Salome Kitomary Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (Alat), imemkana Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, na kueleza kuwa hawahusiki kwa namna yoyote katika mbio zake za urais au kupewa fedha kwa ajili ya kuzigawa kwa Halmashauri Mkuu ya Taifa ya (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wanachama wa Chama hicho. Katibu Mkuu wa Alat, Habraham Shamumoyo, alisema hayo jana  ijini Dar es Salaam jana, katika mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na habari ...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yatoa onyo urais 2015

Suala la baadhi ya viongozi nchini kuanza kampeni za kuwania urais mwaka 2015 kwa kumwaga fedha ili kujijengea mazingira ya ushindi, limechukua sura mpya baada ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuanza kuwabana.

 

10 years ago

Vijimambo

CCM YATOA SABABU SABA (7) ZILIZOFANYA KUMKATA JINA MHE. LOWASA ASIGOMBEE URAIS 2015

Ndugu wananchama wa Chama cha Mapinduzi-CCM ni wiki mbili tangu tulipo maliza mchakato ndani ya chama kumpata mgombea wa Urais hapo Octoba 25, 2015. 
Kwa mara ya kwanza wananchama 41 waliomba kuteuliwa na chama. Hii inaonyesha kwamba demokrasia imekuwa ndani ya chama. Kati ya wanachama wa CCM waliochukua fomu alikuwa ni mheshimiwa waziri mkuu mstaafu Ndugu Edward Lowasa. Utaratibu wa chama ulifuatwa ili kumpata mgombea ikiwa ni pamoja kamati ya maadili, kamati kuu na halmashauri kuu ya taifa...

 

10 years ago

Mtanzania

Makundi ya urais yaibukia ALAT

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM

MAKUNDI yanayosaka urais mwakani, yameibukia katika Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), ambako mmoja wa wanaotajwa kuwania nafasi hiyo anadaiwa kumwaga fedha ili afanyiwe kampeni.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa ALAT, Habraham Shamumoyo, alisema taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinadai kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametoa fedha kwa jumuiya hiyo ili iweze...

 

11 years ago

Habarileo

ALAT kuunga mkono mgombea Urais anayejali ugatuaji

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania (ALAT), Dk Didas Masaburi amesema kuwa jumuiya hiyo itamuunga mkono Rais ambaye atahakikisha anagatua madaraka kwenda ngazi za chini pamoja na kusimamia sheria zake.

 

10 years ago

Michuzi

UTT AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WASHIRIKI WA MKUTANO MKUU WA 31 WA ALAT

Mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni fursa mbadala inayowezasha watu, vikundi,taasisi na kampuni sawa na mahitaji yao kuwekeza pesa zao kwa meneja wa mfuko (UTT AMIS) kisha meneja huwekeza fedha hizo katika masoko ya fedha na masoko ya mitaji kulingana na waraka wa makubaliono. Faida ipatikanayo hugawanywa kwa wawekezaji kulingana na uwiano wa uwekezaji waliofanya katika mfuko husika.


Mifuko hii huwawezesha wawekezaji kuweka akiba na kuwekeza fedha zao na zikakua zaidi.Hatimaye huwawezesha...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YATOA MSIMAMO KUHUSU VYAMA VYA SIASA VINAVYOTAKA KUSHIRIKIANA KINYEMELA UCHAGUZI MKUU (VIDEO)


Na Jacquiline Mrisho - Dodoma
Vyama vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa kwenye Kifungu Na.11 (a) cha Sheria hiyo vitakuwa vimevunja sheria.
Onyo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, wakati alipofanya mahojiano kuhusu msimamo wa ofisi yake kwenye suala la ushirikiano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Nyahoza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano mkuu wa 31, tuzo za viongozi wa serikali za mitaa (Mayors Award) na miaka 30 ya ALAT kufanyika aprili 8-11, 2015 jijini Dar

1 (1)

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye pia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini jana kuhusu Mkutano Mkuu wa 31 wa ALAT utakaokwenda sambamba na Tuzo za Viongozi wa Serikali za Mitaa ‘Mayors Award’ na Miaka 30 ya ALAT, utakaofanyika katika hoteli ya Kunduchi jijijni Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa ALAT, Habraham Shamumoyo na (kulia) ni Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB ambao ndio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani