ALI KIBA MASHABIKI WATARAJIE MAPINDUZI YA MUZIKI
![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc62stI1a9Ex4V113Vytsb4cLZZP-FRO-I9xWeLXjOLUlzfRo0cQ2Yb8lNqCcOiFKsAt-ho3Ab6kRKvyQEFxBxCK/alikiba.gif?width=650)
Omary Mdose Dar es Salaam STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ally Saleh ‘Ali Kiba’, amefunguka mengi kuelekea katika shoo anayotarajiwa kufanya Aprili 5, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar. Staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ally Saleh ‘Ali Kiba’. Hii itakuwa ni mara nyingine kwa msanii huyo kupanda jukwaani hapo baada ya kufanya hivyo miaka miwili...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLALI KIBA AAHIDI KUWACHEKETUA MASHABIKI WAKE
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Ali Kiba apagawisha mashabiki wake Escape One
Ali Kiba akikonga nyoyo za mashabiki wake katika ukumbi wa Escape One Mikocheni usiku wa kuamkia leo.…Akipozi kwa ajili ya selfee.
…Akichekecha na kucheketua.
Mashabiki waliofurika kwenye onyesho hilo wakiimba na kucheza pamoja na Ali Kiba
10 years ago
CloudsFM04 Mar
Ali Kiba kukutana na mashabiki wake kupitia #‎ChekeTOUR‬
#ChekeTOUR ya #MwanaWenu inaanza wiki hii - Kanda ya kaskazini ndio shughuli inaanzia.
Ijumaa hii 6.3.2015 - Moshi @ClubLaLiga
Jumamosi 7.3.2015 - Arusha @ClubTripleA
Jumapili 8.3.2015 - Namanga @BreezingPoint
Sasa mpango upo hivi - kwa heshima na taadhima @officialalikiba anaomba umpangie playlist ya ngoma zake ambazo ungependa ushuhudie akiimba siku ya show, mavazi na muda wa performance. Kwa kila mkoa watachaguliwa mashabiki watano ambayo watakuwa wameipanga vizuri show. Watajishindia...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Ali Kiba ang’ara tuzo za muziki Tanzania 2015
Na Festo Polea
MSANII Ali Kiba anayetamba na wimbo wa ‘Mwana’ na ‘Chekecha’, ameng’ara usiku wa juzi kwa kunyakua tuzo sita za muziki Tanzania zilizotolewa katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Tuzo alizonyakua ni wimbo bora wa Afro Pop, mtunzi bora wa mwaka Bongo Fleva, mtumbuizaji bora wa muziki wa mwaka wa kiume, mwimbaji bora wa kiume Bongo Fleva, wimbo bora wa mwaka na wimbo bora wa kushirikishwa na Mwana FA.
Katika tuzo hizo zilizoongozwa na mtangazaji wa kituo cha redio,...
10 years ago
CloudsFM16 Jan
ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kwa kusapoti ngoma zake ikiwemo Mwana Dsm ambayo aliitoa mwaka jana lakini kutoka na sapoti kubwa ya mashabiki hadi leo inafanya vyema kwenye vituo mbalimbali vya redio na tv.
9 years ago
Bongo522 Oct
Malumbano kati ya mashabiki wa Alikiba na Diamond yanaathiri muziki wangu — Abdul Kiba
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Ali Kiba; Nyota wa muziki aliyerudi kwa kasi katika kiti chake
10 years ago
GPL19 Oct
TAMASHA LA FIESTA 2014: DAVIDO, ALI KIBA, DIAMOND NA T.1 WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI