Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ali Kiba apagawisha mashabiki wake Escape One

IMG_8002

Ali Kiba akikonga nyoyo za mashabiki wake katika ukumbi wa Escape One Mikocheni usiku wa kuamkia leo.IMG_8026…Akipozi kwa ajili ya selfee.IMG_8050…Akichekecha  na kucheketua.IMG_7999

IMG_8000

IMG_7998

Mashabiki waliofurika kwenye onyesho hilo wakiimba na kucheza pamoja na Ali Kiba

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ALI KIBA AAHIDI KUWACHEKETUA MASHABIKI WAKE

Msanii wa kizazi kipya anayetamba na wimbo wa Chekecha Cheketua, Ali Saleh ‘Kiba’ (katikati) akielezea alivyojipanga kutoa burudani ya nguvu katika shoo yake ya Mwana Dar Live itakayofanyika Sikukuu ya Pasaka ndani ya Dar Live. Kulia ni MC Darada na Msaga Sumu (kushoto). Wasanii watakaotumbuiza kwenye shoo ya Mwana Dar Live Sikukuu ya Pasaka wakiwa katika picha ya pamoja na wadhamini sambamba na waandaaji wa...

 

10 years ago

CloudsFM

Ali Kiba kukutana na mashabiki wake kupitia #‎ChekeTOUR‬

#ChekeTOUR ya #MwanaWenu inaanza wiki hii - Kanda ya kaskazini ndio shughuli inaanzia.
Ijumaa hii 6.3.2015 - Moshi @ClubLaLiga
Jumamosi 7.3.2015 - Arusha @ClubTripleA
Jumapili 8.3.2015 - Namanga @BreezingPoint

Sasa mpango upo hivi - kwa heshima na taadhima @officialalikiba anaomba umpangie playlist ya ngoma zake ambazo ungependa ushuhudie akiimba siku ya show, mavazi na muda wa performance. Kwa kila mkoa watachaguliwa mashabiki watano ambayo watakuwa wameipanga vizuri show. Watajishindia...

 

10 years ago

CloudsFM

ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM

Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kwa kusapoti ngoma zake ikiwemo Mwana Dsm ambayo aliitoa mwaka jana lakini kutoka na sapoti kubwa ya mashabiki hadi leo inafanya vyema kwenye vituo mbalimbali vya redio na tv.

Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram na kuandikia hivi… Shout outs na shukurani nyingi sana kwa support yenu- kurequest nyimbo zangu kwenye redio na TV na comments zenu on social media zangu. Nawaona wote sema siwezi kuwajibu moja...

 

10 years ago

Vijimambo

Wakati Wengine Wakitambulisha Wapenzi Wao Ali Kiba kaanza Mwaka kwa Kuwatambulisha Watoto wake kwa Mashabiki

"Nawapenda sana watoto wangu! Kingine ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA MASHABIKI WATARAJIE MAPINDUZI YA MUZIKI

Omary Mdose Dar es Salaam
STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ally Saleh ‘Ali Kiba’, amefunguka mengi kuelekea katika shoo anayotarajiwa kufanya Aprili 5, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar. Staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ally Saleh ‘Ali Kiba’. Hii itakuwa ni mara nyingine kwa msanii huyo kupanda jukwaani hapo baada ya kufanya hivyo miaka miwili...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA FIESTA 2014: DAVIDO, ALI KIBA, DIAMOND NA T.1 WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI

Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa kuamkia leo lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar.

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA LAFANA,DAVIDO,ALI KIBA,DIAMOND WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI,T.I AWAKUNA WABONGO

Mmoja wa askari waliokuwa wamepangwa katika suala zima la kusimamia usalama ndani ya tamasha la Fiesta 2014 akihakikisha usalama wa kutosha unakuwepo katika eneo hilo,na watazamaji wanapata burudani iliyokusudiwa kutoka kwa wasanii mbalimbali waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar.Shaa na madansa wake wakilishambulia jukwaa. 
Pichani kulia ni Msanii kutoka nchini Nigeria ajulikanae...

 

5 years ago

Michuzi

ALI KIBA APATA PIGO, WASANII WAKE WAWILI WAMKIMBIA


Charles James, Michuzi TV

PIGO! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wasanii wawili, Killy na Cheesy kutoka Lebo ya Kings Music inayomilikiwa na Supastaa, Ali Kiba kutangaza kujitoa kwenye lebo hiyo.

Taarifa za kujitoa kwa wakali hao zimeanza kusambaa leo baada ya wasanii hao wenyewe kuandika kwenye mitandao yao ya Instagram lakini hawajaweka sababu za kujitoa kwao.

" Naitwa Ally Killy maarufu kama Lilly nikijulikana kama msanii wa Kings Music Records, napenda kuwajulisha fans wangu wote waliokua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani