Ali Kiba:Tuzo za Kilimanajro ni haki yangu
Msanii kutoka Tanzania Ali Kiba ambaye amejitokeza tena katika ulingo wa muziki baada ya kupumzika kwa miaka mitatu amepuuzilia mbali madai kwamba alipendelewa katika tamasha la tuzo za Kilimanjaro.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Jamtz.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-DywnBWypgrs/VEuQ-tnjbRI/AAAAAAAABNk/aeQ2eWVFZbQ/s72-c/Mwana%2BFA%2Bna%2BAlikiba.jpg)
10 years ago
Bongo515 Jan
New Video: Mwana FA Ft Ali Kiba — Kiboko Yangu
10 years ago
GPL15 Jan
10 years ago
GPLWASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/mAcuWgX_X10/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
Onyesho la Coke Studio lazidi kupaisha mafanikio yangu-Ali Kiba
Ali Kiba na Victoria Kimani wakishambulia jukwaa ndani ya Coke Studio.
–Awataka wasanii wachanga kujituma ili waweze kushiriki kwenye onyesho kama hili
Na Mwandishi wetu
Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema moja ya mafanikio anayojivunia nayo katika kazi ya muziki kwa mwaka huu ni ushiriki wake katika onyesho la Coke Studio msimu wa tatu.
Ali Kiba ambaye amefanya kolabo kwa kushirikiana na mwanamuziki wa kike anayetamba katika anga ya muziki wa Bongo Fleva...
10 years ago
Mtanzania29 Apr
Diamond, Ali Kiba wachuana Tuzo za Watu
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
WANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ali Kiba, ni miongoni mwa wasanii wanaochuana katika Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume katika Tuzo za Watu 2015.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Bongo 5 Media Group, inayoratibu tuzo hizo, Nancy Sumari, wasanii wengine walio katika kipengele hicho ni Elias Barnaba, Ommy Dimpoz na Jux.
Katika kipengele cha msanii bora wa kike wanaochuana ni Lady Jaydee, Linah,...
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Ali Kiba, Diamond, Jux wapeta tuzo za Kili
NA ZAITUNI KIBWANA
WASANII wa muziki wa bongo fleva, Ali Kiba, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Juma Jux, wameingia katika vinyang’anyiro sita vinavyogombewa katika tuzo za muziki ‘Kili Music Award’.
Ali Kiba ameingia kwenye kipengele cha mtumbuizaji bora wa muziki wa kiume, wimbo bora wa mwaka, mwimbaji bora wa kiume, mtunzi bora, video bora ya mwaka na mwimbaji bora wa Afro-Pop.
Naye Diamond ameingia kwenye kipengele cha mtumbuizaji bora, mwimbaji bora, mtunzi bora, wimbo bora wa Zouk, wimbo bora...
10 years ago
Mwananchi15 Jun
Ali Kiba, Diamond ‘wakacha’ tuzo za Kili 2015 kiaina