Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIKIBA AWAJIBU WANAODAI VIDEO YAKE YA WIMBO WA ‘MWANA’ NI MBOVU

Hatimaye Alikiba ameamua kuwajibu baadhi ya wapenzi wa muziki walioikosoa video ya wimbo wa ‘Mwana’ wanaodai kuwa haiendani na kile kinachoimbwa.Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds FM, Alikiba amesema alichokifanya alimaanisha hivyo kuleta picha mpya kwenye vichwa vya watu.“Utofauti wa video ndio uzuri wake kwa sababu kila mtu kwenye mind yake amejenga video, ame-make video itakuwa vipi,” amesema. Kwa sababu nyimbo imeelezea vitu vingi ni pana kama unavyoona na ina vitu vingi madawa,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Alikiba awajibu wanaodai video ya ‘Mwana’ ni mbovu

Hatimaye Alikiba ameamua kuwajibu baadhi ya wapenzi wa muziki walioikosoa video ya wimbo wa ‘Mwana’ wanaodai kuwa haiendani na kile kinachoimbwa. Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds FM, Alikiba amesema alichokifanya alimaanisha hivyo kuleta picha mpya kwenye vichwa vya watu. “Utofauti wa video ndio uzuri wake kwa sababu kila mtu kwenye mind yake […]

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Alikiba — Mwana

Tazama video mpya ya Alikiba ‘Mwana’ iliyoongozwa na director mkubwa Afrika, Godfather

 

10 years ago

GPL

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo5

Video ya ‘Mwana’ ya Alikiba kuanza kuoneshwa Ijumaa hii

Video ya Alikiba, itaanza kuoneshwa Ijumaa hii kwenye vituo mbalimbali vya runinga vilivyopewa ruhusa ya kuionesha ‘exclusively’. Alikiba amesema video hiyo imeingozwa na director wa Afrika Kusini na ilifanyika jijini Cape Town. “Mwana Dar es salaam simaanishi ni Dar es Salaam, aim yangu ninalenga yale majiji ambayo yanatokana na vitu kama hivyo,” alikiambia kipindi cha […]

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba premieres ‘Mwana’ music video on 5 of Africa’s biggest TV stations

Leading with the singles ‘Mwana’ and ‘Kimasomaso’ Alikiba’s most anticipated music video to date ‘Mwana’ was released to millions of fans across Africa and the world, YESTERDAY -19th December 2014. ‘Mwana’ is the first official release through his worldwide partnership with his record label and management company ROCKSTAR4000 and Rockstar Publishing. The Music Video ‘Mwana’ […]

 

10 years ago

Bongo5

Video ya ‘Mwana’ ya Alikiba kutambulishwa ‘exclusive’ na vituo 4 vya nje ya Tanzania

Video ya Mwana ya Alikiba ambayo inatoka rasmi leo (Dec.16) itaanza kuonekana exclusive kwenye vituo vinne vya nje ya mipaka ya Tanzania kwa mara ya kwanza. Kwa mujibu wa promo ambayo Alikiba ameifanya kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii, vituo vitakavyoanza kuionesha video yake kwa mara ya kwanza ni 1 Music Networks na Sound […]

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba asema ‘soon’ ataachia wimbo na video mpya

Msanii wa muziki, Alikiba amesema kuwa baada ya kuona wimbo wa “Mwana” umefanya vizuri anatarajia kuachia wimbo mpya ambao utakuja pamoja na video. Akizungumza na Planet Bongo ya EATV, Kiba amesema hana muda wa kusubiria kama mwanzo, sasa hivi ni ngoma baada ya ngoma. “Kinachofuata ni kazi kama nilivyo wa-promise before, hakuna gape, kwaiyo soon […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani