Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alikiba kulipua ‘bomu’ lingine Ijumaa hii (Feb.27) ‘Chekecha’

Baada ya mwaka jana 2014 kuuvunja ukimya uliotawala kwa miaka mingi kwa kuachia single ya ‘Mwana’, Alikiba anategemea kutoa wimbo wake mpya wa 2015. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Alikiba ameshare cover za wimbo mpya uitwao ‘Chekecha’ unaotarajiwa kutoka Ijumaa Feb 27. Wimbo huo umefanyika kwenye studio ya Combinenga chini ya producer Man […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video ya ‘Mwana’ ya Alikiba kuanza kuoneshwa Ijumaa hii

Video ya Alikiba, itaanza kuoneshwa Ijumaa hii kwenye vituo mbalimbali vya runinga vilivyopewa ruhusa ya kuionesha ‘exclusively’. Alikiba amesema video hiyo imeingozwa na director wa Afrika Kusini na ilifanyika jijini Cape Town. “Mwana Dar es salaam simaanishi ni Dar es Salaam, aim yangu ninalenga yale majiji ambayo yanatokana na vitu kama hivyo,” alikiambia kipindi cha […]

 

9 years ago

Bongo5

Game ya Navy Kenzo na Chekecha Cheketua ya Alikiba zajumuishwa kwenye mix ya ‘Africa In Your Earbuds’ ya Jidenna & Nana Kwabena

Wengi watakuwa wanamfahamu Jidenna, muimbaji wa ngoma iliyohit na inayoendelea kufanya vizuri duniani, Classic Man na pia Yoga aliyoshirikishwa na Janelle Monae. Ni muimbaji wa Marekani mwenye asili ya Nigeria. Yeye na DJ na producer wake, Nana Kwabena wametoa mix yao iitwayo ya ‘Africa In Your Earbuds’ ya Jidenna & Nana Kwabena 67’ ambamo wamemix […]

 

10 years ago

Vijimambo

Mishumaa ya Kale LIVE .Ijumaa hii na kila Ijumaa

Mishumaa ya Kale ni kipindi ambacho kinakuletea muziki wa zamani na maelezo mbalimbali ju ya Muziki huo. Ungana na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni mpaka saa moja kamili kwa saa za Marekani Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST) kupitia Kwanza Production, Vijimambo Radio ama Border Radio

 

10 years ago

Vijimambo

Mishumaa ya Kale...Ijumaa hii na kila Ijumaa

Mishumaa ya Kale ni kipindi ambacho kinakuletea muziki wa zamani na maelezo mbalimbali ju ya Muziki huo. Ungana na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni mpaka saa moja kamili kwa saa za Marekani Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST) kupitia Kwanza Production, Vijimambo Radio ama Border Radio

 

10 years ago

Vijimambo

Marudio ya kipindi cha MISHUMAA YA KALE.....Ijumaa Feb 27, 2015

Kama ilikosa kipindi cha MISHUMAA YA KALE leo (Ijumaa Januari 30, 2015), karibu

Hiki ni kipindi cha Ijumaa, January 23, 2015.
MISHUMAA YA KALE ni kipindi kinachokuwezesha "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanza Ku-Jembeka na Sauti SOL Jumamosi hii Feb 21 ndani ya Jembe Beach

300 x 150m

Hatimaye ule mpango mzima wa kuzifungulia burudani ulioasisiwa na redio mpya ya jijini Mwanza JEMBE FM na kubatizwa jina ‘JEMBEKA’ unaanza rasmi jumamosi ya wiki hii tarehe 21/02/2015 ndani ya kiota cha burudani cha kitalii Jembe Beach Mwanza.

Burudani itakayo fungua mpango huo wa ‘JEMBEKA’ ni kutoka kwa kundi maarufu Afrika Mashariki lililovuka mipaka na sasa muziki wake kuchezwa hadi barani Ulaya kundi la Sauti Sol toka nchini Kenya ambao watapiga muziki LIVE.

Vijana wa Nyumbani JJ Band...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani