Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYEMPA TUZO 6 DIAMOND PLATNUMZ HUYU HAPA

Prodyuza aliyempatia tuzo sita za Kili staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz ' kwa kutengeneza wimbo wa Number One, Sheddy Clever akiwa ndani ya Global TV Online. Kujua zaidi alichoongea, usikose kuangalia Global TV Online Jumatatu ijayo!

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Kilicho Mponza DIAMOND PLATNUMZ Tuzo za Kill Music Hichi Hapa, Wema na Jokate Watambiana Mabwana, Vanessa na Jux Wapakatana


Tuzo za Muziki za Kili 2015, Jumamosi ya wiki iliyopita zilitimua vumbi kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo maelfu ya Watanzania wanaopenda burudani walikuwa wakifuatilia mwenendo mzima wa tuzo hizo, ambapo msanii Ali Kiba aling’ara baada ya kunyakua tuzo tano na kumuacha mbali hasimu wake mkubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ aliyeambulia tuzo mbili tu.Mpango mzima ulianza, mishale ya saa tatu za usiku ambapo wasanii pamoja na wadau mbalimbali walijumuika...

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE ALIYEMPA ZARI JEURI YA FEDHA

  Kibosile  Ivan Ssemwanga akiwa na  ‘Zari’. Makala : Hashim Aziz na mitandao Umaarufu wa msanii wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani