ALIYEVUJISHA VIDEO YA JAY Z AKIPIGWA NA SHEMEJI YAKE ATIMULIWA KAZI, ALILAMBA MIL 412 KUTOKA TMZ
![](http://api.ning.com:80/files/BMX2CDnBHSKnN3-NoaN5ivDbPJgr2DAL6lBNqaJMCfeYD5u39vEuSggzhTNJnmCRHJ6vBTL6k3LPpK7e1EyBOl4xh502o6eE/JAYZ.jpg)
Solange (mbele kulia) baada ya kumpa kichapo shemeji yake Jay Z (wa tatu kushoto). JAMAA aliyevujisha video ikionyesha staa Jay Z akipigwa na shemeji yake Solange ametimuliwa kazi. Hoteli ya New York Standard imeamua kusitisha mkataba wa jamaa huyo mara moja baada ya kuvunja sheria za usalama za hoteli hiyo kwa kuvujisha tukio nyeti kama hilo. Jamaa huyo anadaiwa kuwauzia TMZ kipande hicho cha video kwa dola 250,000 sawa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yJ4bKDGWnul0kx6GIdlXq8I1PFCrmioPM5c8RIksDMwekMYo8AButPp-jBfu-t6SFTxrK2eGt20bhjtMMQu2-wZ/oSOLANGE570.jpg)
JAY-Z APIGWA NA SHEMEJI YAKE, LOL!
11 years ago
Bongo507 Aug
Video: Akon adai ndoa ya Jay Z na Beyonce ni ya biashara, The Carters wakaa kwenye hoteli ya tshs mil.50 kwa usiku 1
10 years ago
Bongo507 Nov
Video: Ex wa Desire Luzinda aliyevujisha picha zake za utupu aibuka na kuzungumiza kilichomfanya avujishe
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake
![Emmanuel Mbasha](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Emmanuel-Mbasha-300x188.jpg)
Emmanuel Mbasha
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
VIPIMO vya kimaabara alivyofanyiwa binti wa miaka 17 ambaye anadaiwa kubakwa na mfanyabiashara na mwimbaji wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, havijaonyesha kama alifanyiwa kitendo hicho.
Ushahidi huo umetolewa jana na daktari Migole Mtuka wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala.
Mbele ya Hakimu Flora Mjaya, Dk. Mtuka alisema Mei 26, mwaka jana, binti huyo – ndugu wa mwimbaji wa nyimbo za injili, Flora...
11 years ago
Mtanzania04 Aug
Rais Karume amfuata shemeji yake mahabusu
Na Is-haka Omar, Zanzibar
RAIS mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, jana alifika katika Kituo Kikuu cha Polisi Mwembe Madema mjini Zanzibar, kumtembelea shemeji yake, Mansour Yussuf Himid aliyekamatwa juzi kwa tuhuma za kukutwa na silaha za moto kinyume cha sheria.
Baada ya Karume kufika kituoni hapo akiwa na msafara wake, aliruhusiwa kuonana na shemeji yake huyo baada ya kutolewa mahabusu alikokuwa akishikiliwa.
Karume na Himid, waliteta kwa dakika zisizozidi kumi kisha rais huyo...
11 years ago
CloudsFM29 May
MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-RwgvJ_oE1-4/VPldz3-K1sI/AAAAAAAApiA/tdqT9Gug2dQ/s72-c/kumbaka.jpg)
Emmanuel Mbasha Amwaga Machozi Mahakani..Sakata la Kumbaka Shemeji Yake
![](http://4.bp.blogspot.com/-RwgvJ_oE1-4/VPldz3-K1sI/AAAAAAAApiA/tdqT9Gug2dQ/s640/kumbaka.jpg)
11 years ago
CloudsFM![](http://api.ning.com/files/ToQMaI9f*6IZBKM6udfXmS98RL7SPJYlgi7tR*1qgsLFywTPkGncasY0SZoD24pC5Ppv1XNQhVPVSiEgWyTGFJtXIcs-3mwI/florahmbashanamumewe.jpg)
YAWEKWA WAZI, KUMBE ANAYETUHUMIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE NI MUME WA FLORA MBASHA
JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 ambaye ni yatima.
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa Jumatatu saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule) na kufunguliwa kesi yenye Kumbukumbu Na. TBT/RB/319/2014 na ya Jalada la Uchunguzi Na.TBT/IR/1865/2014, zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dV1tnoxKrQQ/VaSWIF1dmKI/AAAAAAAAxrs/hJQjTvEPGQ0/s72-c/ema%2Bmbasha.jpg)
KAUMBUKA! MUME wa FLORA MBASHA Akutwa na Hatia ya Kesi ya Ubakaji wa Shemeji Yake!
![](http://3.bp.blogspot.com/-dV1tnoxKrQQ/VaSWIF1dmKI/AAAAAAAAxrs/hJQjTvEPGQ0/s640/ema%2Bmbasha.jpg)
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imesema mfanyabiashara na muimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mbasha ana kesi ya kujibu katika shtaka linalomkabili la ubakaji linalomkabili.Katika shtaka hilo Mbasha anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 17 (jina linahifadhiwa) ambaye ni shemeji yake.Mbele ya Hakimu Flora Mjaya, mwendesha Mashtaka Munde Kalombola alidai mahakama imemkuta Mbasha na hatia baada ya kupitia ushahidi wa pande zote mbili.Mbasha ambaye ni mume wa muimbaji maarufu wa muziki wa...