Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMANI WA KENYA NA MO MUSIC NAO KUKAMUA MISS SHINYANGA 2014‏

Warembo hao wakifanya mazoezi katika ukumbi wa Ihesa Hotel & Resort Ltd ya mjini Kahama.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAREMBO 20 KUCHUANA MISS SHINYANGA 2014

Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Shinyanga 2014 katika pozi.…

 

11 years ago

GPL

MISS REDD’S SHINYANGA 2014 APATIKANA

Miss Redd’s Shinyanga 2014 ni Nicole Franklyn Sarakikya (katikati) mrembo kutoka wilaya ya Kishapu. Miss Redd’s Shinyanga 2014 ni Nicole Franklyn Sarakikya (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Mary Emmanuely Bugingo na Mshindi wa tatu, Rachel Mushi.…

 

11 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!‏

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM ...

 

11 years ago

GPL

HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA‏

Pichani ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani. Miss Tanzania 1999 ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu akipata ukodak na Miss Tanzania USA, Joy Kelemera baada ya mahojiano maalum nchini Marekani. Let us all wish her all the best!… ...

 

10 years ago

GPL

AYSHA CHEYO NDIYE MISS TANZANIA USA PAGEANT 2014‏

Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya kunyakua taji hilo kwenye mashindano ya umiss yaliyofanyika Slvr Spring, Maryland nchini Marekani.
Miss Tanzania USA pageant 2013 Joy Kalemera akipigia makofi mshindi mpya wa taji hilo Aysha Cheyo mara tu baada ya kumaliza… ...

 

11 years ago

GPL

MISS IFM 2014 KUFUNGUKA NDANI YA THE PLAYLIST YA TIMES FM JUMAPILI HII‏

Miss IFM 2014, Lilian Timoth. KIPINDI cha The Playlist cha 100.5 Times Fm kinachoongozwa na Omary Tambwe aka Lil Ommy, Jumapili hii kitamdondosha mrembo aliyeshinda taji la Miss IFM 2014, Lilian Timoth. Akiwa kama mrembo ambaye amepata nafasi ya kuingia kwenye orodha ya celebs wa Tanzania katika tasnia ya ulimbwende, Lilian atazicheza nyimbo tano kali anazozipenda zaidi huku akijibu maswali ya kichokozi yanayomhusu. The Playlist...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

11 years ago

GPL

MCHAKATO WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 SASA KUANZA MWEZI UJAO !‏


KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM. MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO  MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA  VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  … ...

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS ILALA 2014 WATAMBULISHWA RASMI KWA MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND‏

Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia watakuwepo kuanzia saa tatu usiku. Kijana Hashim Donode akionyesha hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani