Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amri Kiemba kuuzwa bei chee Msimbazi

Uongozi wa Simba unamuuza kwa bei chee mchezaji wake mkongwe, Amri Kiemba baada ya Azam kuonyesha nia ya kumhitaji ili awasaidie mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Brazil kufuru,Iran bei chee

Hakuna shaka fainali za Kombe la Dunia zinazotarajiwa  kuanza Alhamisi ijayo na kuwashuhudia nyota 736 wenyethamani ya mamilioni ya pauni wakishindana na kuumiza nyasi  nchini Brazil kwa mwezi mmoja ndizo ghali zaidi.

 

9 years ago

Global Publishers

Kumekucha! Mbuzi wa sikukuu wapo Mbezi na Vingunguti, bei chee!

Mbuzi (1)
Mbuzi (3)

Mbuzi (4)

Mbuzi (5)

Mbuzi (2)

Mbuzi (6)

Kumekucha jijini Dar, ni offer ya aina yake katika msimu huu wa sikukuu za X-Mass na Mwaka Mpya, mbuzi wanono kwa ajili yako na familia yako wanapatikana Mbezi ya Kimara na Vingunguti jijini Dar es salaam kwa bei nafuu sana.

Pia wanafaa kwa nyamachoma, mahotelini, nyumbani na kumbi za starehe.

Weka oda yako sasa kwa kupiga simu namba: 0787 589 318

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kisiwa cha Changuu Z`bar chakodishwa kwa `bei chee`

Waziri wa zamani wa Utalii Biashara na Uwekezaji Zanzibar, Samia Suluhu Hassan(Mgombea mwenza wa Magufuli) Kisiwa cha utalii cha Changuu, kilikodishwa kwa ‘ bei chee’ na kampuni ya Leizure Hotel Limited, ripoti ya Kamati ya Baraza […]

The post Kisiwa cha Changuu Z`bar chakodishwa kwa `bei chee` appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

JE UMECHUKUA MKOPO NA NYUMBA YAKO INATAKA KUUZWA, HAIRUHUSIWI KUUZWA MPAKA UTARATIBU HUU.

Wakopwaji/wadaiwa  wamekuwa  wakipata shida sana  kutoka  kwa wanaokopesha. Mkopesha awe ni mtu binafsi, taasisi ya fedha , kampuni  binafsi au mwingine  yeyote  wamekuwa  wakiwasumbua sana  wadeni  wao. Kubwa  zaidi hasa taasisi za fedha hutumia masharti ya mikataba ambayo  huwa yameandaliwa kitaalam kiasi cha  mtu ambaye  si mwanasheria  kutoelewa kwa undani maana  yake  kuwabana wadeni  ambao  hushtukia  masharti hayo baada  ya  kuwa wameshaanza  kudaiwa. Mbaya  zaidi  wamekuwa  wakifanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kiemba ‘Jembe’ Mapinduzi

KIUNGO mchezeshaji wa Wekundu wa Msimbazi, Simba, Amri Kiemba, ameweka rekodi ya kipekee katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2014, kwa kuifungia timu yake hiyo mabao ya ushindi yaliyoiwezesha kuingia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani