Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Andy Murray ambwaga Grigor Dimitrov

Mcheza Tennis maarufu wa Uingereza Andy Murray amembwaga Grigor Dimitrov kufuzu mashindano ya Australia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murray ambwaga David Ferre

Mchezaji Tennis Andy Murray amembwaga David Ferrer katika mashindano ya wazi ya Vienna.

 

10 years ago

StarTV

Andy Murray ambwaga David Ferre

Mchezaji Tennis Andy Murray amembwaga David Ferrer katika mashindano ya wazi ya Vienna kwa seti 5-7 6-2 7-5.

 

Kwa ushindi huo Andy Murray anasonga mbele katika mashindano hayo kwaajili ya kufuzu kuingia katika fainali za dunia.

 
Murray mwenye umri wa miaka 27 hii inakuwa mara tatu kumshinda mpinzani wake huyo katika hatua ya kuwania fainal.

 
Hata hivyo Murray muda mfupi baada ya mchezo huyo aliiambia BBC Radio 5 kwamba alikuwa amemaliza wiki yake vizuri katika mchezo huo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murray atwaa kikombe

Nyota namba tatu kwa ubora wa mchezo wa tenesi muingereza Andy Murray ametwaa ubingwa wa michuano ya Rogers

 

10 years ago

GPL

ANDY MURRAY AONDOLEWA US OPEN

Mserbia Novak Djokovic baada ya ushindi dhidi ya Murray. Andy Murray wakati wa mpambano huo.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murray nje US Open

Mcheza Tenisi Andy Murray ameyaaga mashindano ya US Open baada ya kuchapwa na Kevin Anderson wa Afrika ya kusini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Loic Courteau kujiunga na Andy Murray?

Kocha wa mchezo wa tenesi Loic Courteau anafanya mazungumzo ya kujiunga na timu ya Andy Murray msimu ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murray aanza kwa ushindi

Mcheza tenesi Andy Murray ameanza michuano ya wazi ya Melbourne,kwa ushindi baada ya kumchapa Yuki Bhambri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murray atinga nane bora

Mcheza tenesi Andy Murray ameinguia hatua ya nane bora katika michezo ya tenesi ya Dubai.

 

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murray azidi kufanya vyema

Andy Murray ametika raundi ya tatu katika kombe la Rodgers, baada ya ushindi wa 6-4 7-5 mbele ya Mhispana Tommy Robredo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani