Andy Murray azidi kufanya vyema
Andy Murray ametika raundi ya tatu katika kombe la Rodgers, baada ya ushindi wa 6-4 7-5 mbele ya Mhispana Tommy Robredo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BIHCTCFFxEVLOMU5TIZzSOxVjuZT7IovpX4KiY*uLEdxS-zD6BTVdrcg1yROp2nYngIGpNVe-Tfjz3I*fgy*dmE-SC91fsAq/NovakDjokovic.jpg)
ANDY MURRAY AONDOLEWA US OPEN
Mserbia Novak Djokovic baada ya ushindi dhidi ya Murray. Andy Murray wakati wa mpambano huo.…
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Andy Murray nje US Open
Mcheza Tenisi Andy Murray ameyaaga mashindano ya US Open baada ya kuchapwa na Kevin Anderson wa Afrika ya kusini.
9 years ago
BBCSwahili17 Aug
Andy Murray atwaa kikombe
Nyota namba tatu kwa ubora wa mchezo wa tenesi muingereza Andy Murray ametwaa ubingwa wa michuano ya Rogers
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Andy Murray mshindi wa BBC tennis
Andy Murray ameibuka kuwa mshindi katika kura za kusaka mchezaji bora wa Tennis katika shindano lililoandaliwa na BBC.
10 years ago
BBCSwahili25 Feb
Andy Murray atinga nane bora
Mcheza tenesi Andy Murray ameinguia hatua ya nane bora katika michezo ya tenesi ya Dubai.
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Andy Murray ashindwa Indiana Wells
Murray alishindwa kwa seti tatu kwa moja na Milos Raonic ambaye ameorodheshwa kama mchezaji wa kumi bora katika mashindano hayo
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Andy Murray ambwaga David Ferre
Mchezaji Tennis Andy Murray amembwaga David Ferrer katika mashindano ya wazi ya Vienna.
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Andy Murray aanza kwa ushindi
Mcheza tenesi Andy Murray ameanza michuano ya wazi ya Melbourne,kwa ushindi baada ya kumchapa Yuki Bhambri.
10 years ago
BBCSwahili28 May
Andy Murray kumvaa Joao Sousa,
Mashindano ya tenis ya French Open yanaendelea tena leo hii wakati waingireza wawili ,Andy Murray na Heather Watson wanashuka dimbani kucheza katika mzunguko wa pili.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania