Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Andy Murray atinga robo fainali

Mcheza tenis wa Uingereza Andy Murray ametinga hatua ya robo fainali ya mashindano ya French Open

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Murray atinga robo fainali Mexico

Andy Murray amefuzu kucheza hatua ya robo fainali ya michuano ya wazi ya Mexico

 

10 years ago

BBCSwahili

Murray atinga robo fainali Miami Open

Andy Murray amekuwa Mwingereza wa kwanza kuweka historia katika mchezo wa tenis wa mashindano ya Miami Open.

 

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murray atinga nane bora

Mcheza tenesi Andy Murray ameinguia hatua ya nane bora katika michezo ya tenesi ya Dubai.

 

11 years ago

GPL

ANDY MURRAY ATINGA RAUNDI YA 3 FRENCH OPEN

Andy Murray ametinga raundi ya tatu kwa kumtoa Marinko Matosevic. Andy Murray akikwaana na Marinko Matosevic. Mashabiki wakishuhudia mpambano…

 

10 years ago

BBCSwahili

Murray atinga nusu fainali Wimbledon

Muingereza Andy Murray ameingia nusu fainali yake ya sita kwenye michuano ya Wimbledon katika kipindi cha miaka saba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Murray atinga nusu fainali Miami Open

Mcheza tenisi mashuhuri duniani Andy Murray wa Uingereza ametinga nusu fainali michuano ya Miami Open

 

9 years ago

Mtanzania

atinga robo fainali Shanghai Masters

Andy_Murray_2590815bSHANGHAI, CHINA

NYOTA wa tenesi, Andy Murray, ametoka nyuma kwa seti moja na kumchapa John Isner na kutinga robo fainali ya michuano ya Shanghai Masters.

Mwingereza huyo namba mbili kwa ubora duniani, 28, alionyesha uimara mbele ya uso wa Isner na kushinda kwa seti 6-7 (4-7) 6-4 6-4.

Ilimchukua saa 2.30 Murray kuweza kumaliza pambano hilo na sasa atakutana na Tomas Berdvch au Gilles Simon kwenye robo fainali, itakayofanyika leo.

 

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murray atwaa kikombe

Nyota namba tatu kwa ubora wa mchezo wa tenesi muingereza Andy Murray ametwaa ubingwa wa michuano ya Rogers

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murray nje US Open

Mcheza Tenisi Andy Murray ameyaaga mashindano ya US Open baada ya kuchapwa na Kevin Anderson wa Afrika ya kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani