Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


atinga robo fainali Shanghai Masters

Andy_Murray_2590815bSHANGHAI, CHINA

NYOTA wa tenesi, Andy Murray, ametoka nyuma kwa seti moja na kumchapa John Isner na kutinga robo fainali ya michuano ya Shanghai Masters.

Mwingereza huyo namba mbili kwa ubora duniani, 28, alionyesha uimara mbele ya uso wa Isner na kushinda kwa seti 6-7 (4-7) 6-4 6-4.

Ilimchukua saa 2.30 Murray kuweza kumaliza pambano hilo na sasa atakutana na Tomas Berdvch au Gilles Simon kwenye robo fainali, itakayofanyika leo.

 

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murray atinga robo fainali

Mcheza tenis wa Uingereza Andy Murray ametinga hatua ya robo fainali ya mashindano ya French Open

 

11 years ago

BBCSwahili

Murray atinga robo fainali Mexico

Andy Murray amefuzu kucheza hatua ya robo fainali ya michuano ya wazi ya Mexico

 

10 years ago

BBCSwahili

Murray atinga robo fainali Miami Open

Andy Murray amekuwa Mwingereza wa kwanza kuweka historia katika mchezo wa tenis wa mashindano ya Miami Open.

 

5 years ago

Michuzi

SIMBA YATANGULIA ROBO FAINALI HATUA YA ROBO FAINAL MICHUANO YA AZAM SPORT FEDERATION CUP

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuingia hatua robo faina ya michuano ya Azam Sports Federation CUP baada ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Stand United.
Mchezo kati ya timu ya Simba na Stand United umepigwa katika dimba la Kambarage Shinyanga na hadi mpira huo unamaliza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na hivyo kuingia hatua ya matuta.
Hatua hiyo ya matuta iliiwezesha Simba kushinda penalt 3 -2 ambapo kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mpambano wa robo fainali Brazil

Brazil dhidi ya Columbia, na Ujerumani ikikutana na Ufaransa. Ubelgiji dhidi ya Argentina na Uholanzi nao wanachuana na Costa Rica

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yafuzu robo fainali ya FA

Mabingwa mara saba Liverpool walitoka nyuma na kuishinda Crystal Palace na kufuzu katika robo fainali ya kombe la FA.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatinga robo fainali FA

Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali na kukomesha safari ya Middlesbrough kwa kuifunga 2-0.

 

11 years ago

Mwananchi

Nigeria, Mali zatinga robo fainali

Timu za taifa za Nigeria na Mali jana zilitinga hatua ya robo fainali ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN baada ya kuzichapa Afrika Kusini na Msumbiji katika fainali hizo zinazoendelea huko Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani