Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Liverpool yafuzu robo fainali ya FA

Mabingwa mara saba Liverpool walitoka nyuma na kuishinda Crystal Palace na kufuzu katika robo fainali ya kombe la FA.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Atletico Madrid yafuzu kwa robo fainali

Atletico Madrid ilimeishinda AC Millan na kufuzu kwa robo fainali ya kuwania kombe la Ulaya kwa mara ya kwanza tangu 1997

 

10 years ago

Mwananchi

Guinea yafuzu robo fainali kwa kura

Malabo, Guinea ya Ikweta. Guinea imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Mataifa ya Afrika 2015 baada ya kuitoa Mali kwa kupigwa kura.

 

5 years ago

Michuzi

SIMBA YATANGULIA ROBO FAINALI HATUA YA ROBO FAINAL MICHUANO YA AZAM SPORT FEDERATION CUP

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuingia hatua robo faina ya michuano ya Azam Sports Federation CUP baada ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Stand United.
Mchezo kati ya timu ya Simba na Stand United umepigwa katika dimba la Kambarage Shinyanga na hadi mpira huo unamaliza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na hivyo kuingia hatua ya matuta.
Hatua hiyo ya matuta iliiwezesha Simba kushinda penalt 3 -2 ambapo kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chile yafuzu fainali za Copa America

Hii ndio mara ya kwanza Chile imefuzu kuingia fainali kwa miaka 28. Iliweza kuinyuka Peru mabao mawili kwa moja.

 

11 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yafuzu kwa fainali

Real Madrid yafuzu kwa fainali baada ya kuibana Bayern Munich 5-0

 

11 years ago

BBCSwahili

Manchester City yafuzu kwa fainali

Ya kuwania kombe la ligi kwa mara ya kwanza baada ya kuilaza Westham kwa jumla ya magoli tisa kwa yai

 

10 years ago

BBCSwahili

CECAFA:Gor Mahia yafuzu nusu fainali

Mabingwa wa ligi kuu ya soka nchini Kenya, Gor Mahia wameendeleza fomu yao bora katika kombe la CECAFA kwa kuilaza Malakia ya Sudan Kusini kwa magoli mawili kwa moja na kufuzu kwa nusu fainali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Voliboli:Kenya yafuzu kwa nusu fainali

Kenya imefuzu kwa nusu fainali ya mchuano wa voliboli ya wanawake ya Grand Prix baada ya kuwanyamazisha Algeria seti 3-2 kwao

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yafuzu,Liverpool yatoka sare

Yaya Sanogo aliifungia Arsenal bao lake la kwanza walipoizaba kilabu ya Borusia Dortmund na kuhakikisha wamefuzu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani