Voliboli:Kenya yafuzu kwa nusu fainali
Kenya imefuzu kwa nusu fainali ya mchuano wa voliboli ya wanawake ya Grand Prix baada ya kuwanyamazisha Algeria seti 3-2 kwao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
CECAFA:Gor Mahia yafuzu nusu fainali
Mabingwa wa ligi kuu ya soka nchini Kenya, Gor Mahia wameendeleza fomu yao bora katika kombe la CECAFA kwa kuilaza Malakia ya Sudan Kusini kwa magoli mawili kwa moja na kufuzu kwa nusu fainali.
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Kenya, Algeria kucheza fainali Voliboli
Timu za wanawake za Kenya na Algeria zitapambana katika mchezo wa fainali Jumamosi
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Manchester City yafuzu kwa fainali
Ya kuwania kombe la ligi kwa mara ya kwanza baada ya kuilaza Westham kwa jumla ya magoli tisa kwa yai
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Atletico Madrid yafuzu kwa robo fainali
Atletico Madrid ilimeishinda AC Millan na kufuzu kwa robo fainali ya kuwania kombe la Ulaya kwa mara ya kwanza tangu 1997
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Guinea yafuzu robo fainali kwa kura
Malabo, Guinea ya Ikweta. Guinea imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Mataifa ya Afrika 2015 baada ya kuitoa Mali kwa kupigwa kura.
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Stars kuivaa Kenya nusu fainali
Ushujaa wa kipa namba moja wa Kilimanjaro Stars, Ivo Mapunda umeivua ubingwa Uganda na kuiingiza Stars nusu fainali ya Kombe la Chalenji
11 years ago
BBCSwahili08 Dec
CECAFA:Tanzania na Kenya nusu fainali
Kilimanjaro Stars watakabiliana uso kwa uso na Harambee Stars nusu fainali ya CECAFA
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Brazil imefuzu kwa nusu fainali.
Brazil imejikatia tikiti kuchuana na Ujerumani katika nusu fainali baada ya kuilaza Colombia 2-1
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania