ankal avamia BBC London

Ankal akiwa na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Bw. Ali Saleh alipovamia kituo hicho kuwataka hali wadau. Ankal alifarijika na kufurahi mno kukuta kumbe bosi huyu ni Bwawa la Maini damu kama yeye. Ila alimkuta hana furaha sana kwa kuwa vijana wa Liverpool wameharibu plani ya kocha Brendan ya kubaki katika nne bora tu mwaka huu ili kucheza Europe Cup na sio kuchukua ubingwa mwaka huu. Maana inavyoelekea kombe linaenda Anfield, ambapo Ali Saleh anasema ah! tukishinda hatutolikataa ila sie...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi01 Oct
ngoma azipendazo ankal - special request from Charles Hilaly BBC London
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
11 years ago
GPL
REGINA MWELEKWA AJIUNGA NA BBC LONDON
9 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi.jpg)
Maulid Kitenge ndani ya BBC London
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi