Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REGINA MWELEKWA AJIUNGA NA BBC LONDON

Regina Mwalekwa. Mtangazaji wa Radio na Televisheni wa Clouds Media, Regina Mwalekwa, amejiunga na BBC London. Mtangazaji huyo leo ameaga rasmi wafanyakazi wenzake wa Clouds tayari kuelekea London, Uingereza.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KILA LAKHERI BI REGINA MWALEKWA NDANI YA KITUO CHAKO KIPYA CHA KAZI BBC

Wakiwa wenye Nyuso za Furaha.Watangazaji mahiri wa Radio na Televisheni,Bi.Regina Mwalekwa aliyekuwa mtangazaji wa Radio One na baadae akahamia Clouds FM/TV na sasa amejiunga na Shirika la Utangazaji la BBC akiwa na mtangazaji mwenzake kutoka kituo cha televisheni cha ITV/Radio One Bi.Fatma Almas Nyangasa,kama walivyonaswa na Camera ya Globu ya Jamii ndani ya viwanja vya maonyesho ya Saba saba yanayoendelea hivi sasa jijini Dar.Bi Regina Mwalekwa kwa sasa sauti yake itakuwa ikisikika rasmi...

 

11 years ago

Bongo5

Arnold Kayanda ajiunga na BBC Swahili

Habari njema kwa mashabiki wa aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha Radio Clouds FM, Arnold Kayanda ni kuwa hivi karibuni ataanza kusikika tena Radioni baada ya kujiunga na Shirika la Utangazaji la BBC Swahili. Baruan Muhuza, Regina Mwalekwa na Arnold Kayanda Kayanda ambaye amejipatia umaarufu zaidi kupitia vipindi mbalimbali vya Clouds kikiwemo kipindi cha Top 20 […]

 

11 years ago

Michuzi

ankal avamia BBC London

 Ankal akiwa na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Bw. Ali Saleh alipovamia kituo hicho kuwataka hali wadau. Ankal alifarijika na kufurahi mno kukuta kumbe bosi huyu ni Bwawa la Maini damu kama yeye. Ila alimkuta hana furaha sana  kwa kuwa vijana wa Liverpool wameharibu plani ya kocha Brendan ya kubaki katika nne bora tu mwaka huu ili kucheza Europe Cup na sio kuchukua ubingwa mwaka huu. Maana inavyoelekea kombe linaenda Anfield, ambapo Ali Saleh anasema ah! tukishinda hatutolikataa ila sie...

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Maulid Kitenge ndani ya BBC London

 Hivi ndivyo tunavyofanya kazi: Mtangazaji wa michezo ITV na Radio One Mailid Baraka wa Kitenge akipewa maelekezo na mtangazaji mkongwe Charles Hillary 'Tishio' jinsi wanavyotayarisha habari zao BBC alipotembelea ofisi za BBC leo.  "....Na hapo yale magoli ya off-side aliyofungwa Liverpool juzi unawezaje ku-replay.... "Haya hapa..."

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani