ankal na Aboubakar Faraj wa swift Freight UK LTD
![](http://3.bp.blogspot.com/-QWwZyPdqkxA/Uz091xImwCI/AAAAAAAFYIg/FWay9FtLHjw/s72-c/f6.jpg)
Ankal akila selfie na mdau anayefanya vyema katika biashara ya usafirishaji mizigo dunia nzima kaka Abouibakar Faraji ofisini kwake Tottenham Hale..
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi02 Oct
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/waLXndkjZ-0/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/waLXndkjZ-0/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a3f6lkFY4_Y/U_5PwceQX4I/AAAAAAAGEvs/NRtG4hG_keQ/s72-c/IMG_1413.jpg)
Birthday Wishes to Ankal from Mrs Ankal
![](http://3.bp.blogspot.com/-a3f6lkFY4_Y/U_5PwceQX4I/AAAAAAAGEvs/NRtG4hG_keQ/s1600/IMG_1413.jpg)
Mrs Ankal.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJNx-TUw2Ja5bsddJloQ7B*rfXzBbq5a0AYf8Zcgwmhl*Is5NiZxUtJU7avGQ6h0QP5UipfSlUscIowy6nOH5mkA/sadiki.jpg)
ABOUBAKAR SADIK APASULIWA
Stori: Joseph Shaluwa
AFYA ya mtangazaji mwenye jina kubwa Bongo, Aboubakar Sadik ambaye anatumikia Radio One Sterio ya jijini Dar es Salaam, si nzuri kiasi cha kulazimika kufanyiwa upasuaji haraka. Mtangazaji wa Radio One Sterio mwenye jina kubwa Bongo, Aboubakar Sadik akifanyiwa upasuaji. Habari kutoka chanzo chetu cha kuaminika, zinasema kuwa, Abou alizidiwa ghafla Jumamosi ya Julai 26, mwaka huu akiwa kazini kwake na...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uaedae571gQ/VfF9oEACFCI/AAAAAAABHVc/SLmk12WOQEU/s72-c/aAA.jpg)
BAKWATA YAMCHAGUA SHEKHE ABOUBAKAR ZUBEIR BIN ALLY KUWA MUFTI WA TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uaedae571gQ/VfF9oEACFCI/AAAAAAABHVc/SLmk12WOQEU/s640/aAA.jpg)
Shekhe Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zubeir Bin Ally amewataka Watanzania kumwomba Mungu ili awapatie kiongozi bora katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Shekhe Zubeir aliyasema hayo jana kwenye mkutano mkuu wa Bakwata uliompitisha kuwa Mufti wa Tanzania kwa kura za wajumbe wote 310 baada ya mtu aliyeingia naye katika ushindani huo kujitoa.
Katika kinyang’anyiro hicho Shekhe Aboubakar alikuwa na wenzake watatu ambao ni Shekhe Khamis Mtupa, Shekhe Hassan Kiburwa...
10 years ago
TheCitizen08 Aug
We’ll strike, say freight forwarders
The actual date and day on which they will down tools are not yet public
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t8XtFUmCpjs2yQs5tEdNjX9XE-cI4nqSc4eWp1aQ13rsajNtaCleguy485azLXLl-Gw9Dylh9LOJMa*mX6y1avn/pichayaofisi.jpg?width=750)
SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI
NEW YEAR OFFERS!
SAVE OVER £600 ON CONTAINERS!
20' CONTAINER TO DAR /MOMBASA NOW £1,250
40' CONTAINER TO DAR MOMBASA NOW £1,750 SALOON CARS TO DAR/MOMBASA NOW £700
4 X 4 CARS TO DAR MOMBASA NOW £780…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania