ABOUBAKAR SADIK APASULIWA
![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJNx-TUw2Ja5bsddJloQ7B*rfXzBbq5a0AYf8Zcgwmhl*Is5NiZxUtJU7avGQ6h0QP5UipfSlUscIowy6nOH5mkA/sadiki.jpg)
Stori: Joseph Shaluwa AFYA ya mtangazaji mwenye jina kubwa Bongo, Aboubakar Sadik ambaye anatumikia Radio One Sterio ya jijini Dar es Salaam, si nzuri kiasi cha kulazimika kufanyiwa upasuaji haraka. Mtangazaji wa Radio One Sterio mwenye jina kubwa Bongo, Aboubakar Sadik akifanyiwa upasuaji. Habari kutoka chanzo chetu cha kuaminika, zinasema kuwa, Abou alizidiwa ghafla Jumamosi ya Julai 26, mwaka huu akiwa kazini kwake na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Sadik awaonya vijana
MKUU wa Mkoa Dar es Salaam, Said Meck Sadik, amewataka vijana kujiepusha na mapenzi ya kunyonyana ulimi kwa sababu njia hiyo inatajwa kuwa chanzo cha maambukizi wa Homa ya Ini...
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Mwanamziki apasuliwa huku akiimba
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
RC Sadik awatupia zigo madiwani
MKUU wa Mkoa (RC) Dar es Salaam, Said Meck Sadik, amesema suala la kuliweka jiji hilo katika hali ya usafi halina mjadala kwa sababu mpango huo umetokana na madiwani wa...
10 years ago
BBCSwahili01 May
Ben Davies apasuliwa bega
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QWwZyPdqkxA/Uz091xImwCI/AAAAAAAFYIg/FWay9FtLHjw/s72-c/f6.jpg)
ankal na Aboubakar Faraj wa swift Freight UK LTD
![](http://3.bp.blogspot.com/-QWwZyPdqkxA/Uz091xImwCI/AAAAAAAFYIg/FWay9FtLHjw/s1600/f6.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/waLXndkjZ-0/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/waLXndkjZ-0/default.jpg)
10 years ago
Michuzi02 Oct
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uaedae571gQ/VfF9oEACFCI/AAAAAAABHVc/SLmk12WOQEU/s72-c/aAA.jpg)
BAKWATA YAMCHAGUA SHEKHE ABOUBAKAR ZUBEIR BIN ALLY KUWA MUFTI WA TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uaedae571gQ/VfF9oEACFCI/AAAAAAABHVc/SLmk12WOQEU/s640/aAA.jpg)
Shekhe Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zubeir Bin Ally amewataka Watanzania kumwomba Mungu ili awapatie kiongozi bora katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Shekhe Zubeir aliyasema hayo jana kwenye mkutano mkuu wa Bakwata uliompitisha kuwa Mufti wa Tanzania kwa kura za wajumbe wote 310 baada ya mtu aliyeingia naye katika ushindani huo kujitoa.
Katika kinyang’anyiro hicho Shekhe Aboubakar alikuwa na wenzake watatu ambao ni Shekhe Khamis Mtupa, Shekhe Hassan Kiburwa...