ankal ndani ya kijiwe cha ughaibuni
![](http://2.bp.blogspot.com/-IbjH2XL6qkY/U1R0cW8j-OI/AAAAAAAFcFw/SUjf2gV1z_E/s72-c/IMG_5028.jpg)
Ankal na Ze Fulanazzzz yake akiwa na wadau wakuu wa KIJIWE CHA UGHAIBUNI alipotembelea Maryland, Marekani hivi karibuni, na kutia ubani katika kipindi hicho ambacho kimejizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Kulia kwake ni Producer DJ Luke Joe, akifuatiwa na nyota wa mchezo Ben Mwaipaja na Mwanangu Yasin 'Mtoto wa Salamander' bila kumsahau mwenyekiti wa kijiwe. Nyuma ya kochi ni wadau ambao bila wao kipindi hicho kisingekuwa hai. Hii ni baada ya kurekodi kipindi ambacho kitaruka hivi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi22 Apr
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
GPL10 Dec
11 years ago
Michuzi19 Mar
11 years ago
Michuzi04 Feb
11 years ago
Michuzi11 Mar
11 years ago
GPLKIJIWE CHA UGHAIBUNI KESHO JUMANNE
11 years ago
GPL04 Feb
10 years ago
Michuzi20 Jan