back by popular demand: KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi18 Jul
10 years ago
Michuzi15 Aug
Ngoma azipendazo ankal - back by popular demand
Narudi katika safu hii kwa ngoma ya "Kuch Kuch Hota Hai"
Na Sultani KipingoKuch Kuch Hota Hai (tafsiri yake “kuna vitu hutokea”), ambayo pia ilijulikana kama KKHH, ni filamu ya kuchekesha ya Kihindi iliyotoka India na Uingereza Oktoba 16, 1998. Mwandishi na mwongozaji wake alikuwa Karan Johar na wachezaji wake walikuwa Shahrukh Khan na Kajol, ikiwa ni filamu yao ya nne pamoja. Ilipigwa India, Mauritius na Scotland, ikiwa ni mara ya kwanza kwa Karan Johar kuongoza filamu, akiwa na lengo la...
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
GPL10 Dec
11 years ago
Michuziankal ndani ya kijiwe cha ughaibuni
Ankal na Ze Fulanazzzz yake akiwa na wadau wakuu wa KIJIWE CHA UGHAIBUNI alipotembelea Maryland, Marekani hivi karibuni, na kutia ubani katika kipindi hicho ambacho kimejizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Kulia kwake ni Producer DJ Luke Joe, akifuatiwa na nyota wa mchezo Ben Mwaipaja na Mwanangu Yasin 'Mtoto wa Salamander' bila kumsahau mwenyekiti wa kijiwe. Nyuma ya kochi ni wadau ambao bila wao kipindi hicho kisingekuwa hai. Hii ni baada ya kurekodi kipindi ambacho kitaruka hivi...
11 years ago
Michuzi04 Feb
11 years ago
Michuzi19 Mar
11 years ago
Michuzi22 Apr
11 years ago
GPL04 Feb
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania