Anne Kansiime kuburudisha Dar August 2.
![](http://4.bp.blogspot.com/-GRURBmbcj5E/U8zNlrXP_YI/AAAAAAAF4Sg/MY9BeLH5AWs/s72-c/Unknown.jpeg)
Mkali wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, Anne Kansiime anatarajiwa kutoa burudani kali hapo August 2, katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar es Salaam. Tukio hilo linaloandaliwa na kituo cha Radio 5 litaambatana na burudani ya muziki kutoka ODAMA Band, pamoja na mchekeshaji Fredi Omondi kutoka Kenya na Pilipili wa Tanzania.
Akizungumzia tukio hilo Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Radio 5, Robert Francis alisema kuwa wameamua kumualika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Anne Kansiime kuwasili leo jijini Dar
Mchekeshaji Anne Kansiime (pichani) anatarajiwa kuwasili leo jijini Dar es Salaam tayari kwa burudani kali hapo August 2 kwenye ukumbi wa Golden Tulip.
Mkali wa huyo wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, atawasili majira ya saa kumi jioni kwa ndege ya shirika la Rwanda.
Anne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari hapo Ijumaa saa tano kamili asubuhi kwenye ukumbi wa Sports Lounge uliopo Posta, na jumamosi atasalimiana na mashabiki katika viwanja vya Mlimani...
11 years ago
Bongo531 Jul
Anne Kansiime kuwasili jijini Dar July 31
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/A1YzOQVw1tw/default.jpg)
11 years ago
Michuzi30 Jul
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
Michuzi18 Apr
11 years ago
Michuzi23 May
11 years ago
Michuzi25 Feb
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/kRbocekng-Y/default.jpg)