Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anne Kansiime; Malkia wa vichekesho anayebamba Afrika Mashariki

Licha ya vichekesho kutotiliwa mkazo mkubwa hasa na wanawake, lakini wapo baadhi wamekuwa wakifanya mambo makubwa katika tasnia hiyo yenye mashabiki lukuki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

11 years ago

Michuzi

One on One with Anne Kansiime

Courtesy of Citizen TV

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Anne Kansiime kuburudisha Dar August 2.

 Mkali wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, Anne Kansiime anatarajiwa kutoa burudani kali hapo August 2, katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar es Salaam.                      Tukio hilo linaloandaliwa na kituo cha Radio 5 litaambatana na burudani ya muziki kutoka ODAMA Band, pamoja na mchekeshaji Fredi Omondi kutoka Kenya na Pilipili wa Tanzania.
Akizungumzia tukio hilo Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Radio 5, Robert Francis alisema kuwa wameamua kumualika...

 

11 years ago

Bongo5

Anne Kansiime kuwasili jijini Dar July 31

Mchekeshaji Anne Kansiime anatarajiwa kuwasili July 31 jijini Dar es Salaam tayari kwa burudani kali hapo August 2 kwenye ukumbi wa Golden Tulip. Mkali wa huyo wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, atawasili majira ya saa kumi jioni kwa ndege ya shirika la Rwanda. Anne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari hapo Ijumaa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani