Arsenal kutoana jasho na Besikitas
Arsenal kuchuana na kilabu ya Besikitas katika mechi za mchujo wa kombe la Mabingwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Mancity kutoana jasho na Arsenal
Sergio Aguero na Vincent Kompany wanatarajiwa kuanza baada ya kushirikishwa miongoni mwa wachezaji wa ziada wiki iliopita
9 years ago
BBCSwahili03 Sep
Besigye kutoana jasho na Museveni
Kiongozi wa upinzani Uganda Kizza Besigye atapambana na rais Yoweri Museveni kwa mara ya nne katika uchaguzi mkuu mwaka ujao
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Wanawake kutoana jasho Namibia
Timu za soka ya akina dada kutoka Nigeria, Ghana na Cameroon ndizo zinazopigiwa upato zaidi kushinda kombe la mabingwa Afrika .
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Tunisia kutoana jasho na Zambia
Zambia italazimika kuimarisha safu ya kati katika mechi didi ya Tunisia kufuatia jeraha la mchezaji Nathan Sinkala .
10 years ago
BBCSwahili01 Mar
Liverpool kutoana jasho na Mancity
Mchezaji wa Liverpool Phillpe Coutino anarejea uwanjani siku ya jumapili baada ya kupumzishwa katika mechi dhidi ya Besikitas
10 years ago
BBCSwahili14 Dec
Man United kutoana jasho na Liverpool
Liverpool iko alama saba nyuma ya Manchester United na nyuma zaidi ya timu ilioshinda kwa mabao 3-0 katika uwanja wa Old Trafford
11 years ago
Mwananchi02 Mar
CCM, Chadema wazidi kutoana jasho Kalenga
Naibu Katibu Mkuu wa (CCM)-Bara, Mwigulu Nchemba amewatakla wananchi wa jimbo hilo kumchagua Mgombea wa Chama hicho, Godfrey Mgimwa ili awaletea maendeleo yanayotokana na utekelezaji wa ilani ya chama hicho tawala.
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Chelsea na Mancity kutoana jesho
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa hatoshiriki katika mechi dhidi ya Manchester City baada ya kupatikana na hatia ya kinidhamu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q3R7JaIGMUkO8OPpcSLgsUxotGgLg2GRZJe4IAa53CxDziTOI-nwOKjTHR9*kFFC48DZE0D8-em3iobOhp4*80C/GURUMO.jpg?width=650)
WATOTO WAANZA KUTOANA ROHO YARABI
“Tunatoana roho yarabiii, kwa mali alizoacha baba…†hicho ni kibwagizo katika wimbo wa Tunatoana Roho uliopigwa na Msondo Music Band ‘Sikinde’ukiwa ni utunzi wa marehemu TX Moshi William akishirikiana na marehemu Muhidin ‘Maalim’ Gurumo na waimbaji wengine wa bendi hiyo! Yawezekana Gurumo alikuwa akijitabiria kitakachotokea baada ya kifo chake kwani kabla hata arobaini ya kifo chake...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania