Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO WAANZA KUTOANA ROHO YARABI

“Tunatoana roho yarabiii, kwa mali alizoacha baba…” hicho ni kibwagizo katika wimbo wa Tunatoana Roho uliopigwa na Msondo Music Band ‘Sikinde’ukiwa ni utunzi wa marehemu TX Moshi William akishirikiana na marehemu Muhidin ‘Maalim’ Gurumo na waimbaji wengine wa bendi hiyo! Yawezekana Gurumo alikuwa akijitabiria kitakachotokea baada ya kifo chake kwani kabla hata arobaini ya kifo chake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watoto pacha waliotenganishwa India sasa waanza kutembea

Hali za watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana, Eliud na Elikana wenye mwaka mmoja na miezi sita, zinazidi kuimarika tangu walipofanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya Julai mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

MUNGU TUNUSURU YARABI TOBA....AJALI INGINE SHINYANGA, 10 WAPOTEZA MAISHA 40 WAJERUHIWA VIBAYA

 Winchi likinyanyua basi baada ya ajali ambapo watu 10 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kutokana na ajali ya basi la Unique na lori kugongana uso kwa uso  mkoani Shinyanga leo. Zoezi la kunyanyua mabaki ya basi hilo likiendelea Simanzi yatawala eneo la ajaliWinchi likiwa kazini huku wanahabari wkirekodi tukio la kunyanyuliwa basi hilo

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA BARAZA LA WATOTO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAANZA LEO MJINI DODOMA

Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chombo cha kuwashirikisha watoto katika maamuzi mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Baraza la Watoto lilianzishwa mwaka 2002 likiwa na lengo la kuongeza ushiriki wa watoto katika ngazi mbalimbali za jamii kama  mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto (CRC) ulivyoeleza ambapo Tanzania kama nchi mwanachama wa Umoja wa mataifa unapaswa kuutekeleza.
kila baada ya miaka 2 Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hufanya mabadiliko ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WAANZA KUWASILI SHEREHE YA FUNGA MWAKA DMV SASA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 HAWATALIPA KIINGILIO

MWANACHAMA HAI KUPATA VINYWAJI  2 BURE
 Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiwa na Asha Nyang'anyi wakimpa kampani mgeni wao Mhe. Kadari Singo mwakilishi wa Diaspora Bubge la katiba atayezungumuza na Watanzania leo kuhusiana na Bunge hilo na yeye pekee ndieye atakayekuwa na kipindi cha maswali na majibu katika kuhitimisha sherehe ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2015 itakayofanyikia ukumbi wa Oxford uliopo Lanham kuanzia saa 1 usiku (7pm) leo Desemba 31, 2014.  Rais wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Besigye kutoana jasho na Museveni

Kiongozi wa upinzani Uganda Kizza Besigye atapambana na rais Yoweri Museveni kwa mara ya nne katika uchaguzi mkuu mwaka ujao

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake kutoana jasho Namibia

Timu za soka ya akina dada kutoka Nigeria, Ghana na Cameroon ndizo zinazopigiwa upato zaidi kushinda kombe la mabingwa Afrika .

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool kutoana jasho na Mancity

Mchezaji wa Liverpool Phillpe Coutino anarejea uwanjani siku ya jumapili baada ya kupumzishwa katika mechi dhidi ya Besikitas

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia kutoana jasho na Zambia

Zambia italazimika kuimarisha safu ya kati katika mechi didi ya Tunisia kufuatia jeraha la mchezaji Nathan Sinkala .

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal kutoana jasho na Besikitas

Arsenal kuchuana na kilabu ya Besikitas katika mechi za mchujo wa kombe la Mabingwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani