Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO MKUU WA BARAZA LA WATOTO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAANZA LEO MJINI DODOMA

Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chombo cha kuwashirikisha watoto katika maamuzi mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Baraza la Watoto lilianzishwa mwaka 2002 likiwa na lengo la kuongeza ushiriki wa watoto katika ngazi mbalimbali za jamii kama  mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto (CRC) ulivyoeleza ambapo Tanzania kama nchi mwanachama wa Umoja wa mataifa unapaswa kuutekeleza.
kila baada ya miaka 2 Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hufanya mabadiliko ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2014 kufanyika mkoani Morogoro

Mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2014 ambao Utafanyika mkoani Morogoro katika ukumbi wa CCT kuanzia tarehe 11 hadi 12 Machi 2014 na utafunguliwa na Mhe. Pindi H. Chana Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Ambapo watoto watapitia taarifa za utekelezaji za Mabaraza ya Watoto ya Wilaya na Mikoa Nchi nzima pamoja na kuchagua viongozi wapya wa Baraza hilo.

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014

I:UTANGULIZI                                  a)Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU UCHAGUZI WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CWT KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu wakati Kwaya ya CWT ilipokuwa ikitumbuiza.Waalimu wakishangilia mara baada ya Hotuba ya Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...

 

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015

Mheshimiwa Spika;
Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

JK ALIPOHUTUBIA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MJINI DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozw na Spika Anne Makinda akiingia Bungeni mjini Dodoma tayari kuhutubia wabunge Alhamisi Julai 9, 2015b10 Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia bungeni kuhutubia  waheshimiwa wabunge. Sehemu ya wabunge wakimsikiliza Rais KikweteRais Kikwete akihutubia waheshimiwa wabunge. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani