Mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2014 kufanyika mkoani Morogoro
Mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2014 ambao Utafanyika mkoani Morogoro katika ukumbi wa CCT kuanzia tarehe 11 hadi 12 Machi 2014 na utafunguliwa na Mhe. Pindi H. Chana Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Ambapo watoto watapitia taarifa za utekelezaji za Mabaraza ya Watoto ya Wilaya na Mikoa Nchi nzima pamoja na kuchagua viongozi wapya wa Baraza hilo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hv_YxStkzss/VL5VfDUgD-I/AAAAAAAG-fI/hv59y4FbTvc/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
MKUTANO MKUU WA BARAZA LA WATOTO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAANZA LEO MJINI DODOMA
Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chombo cha kuwashirikisha watoto katika maamuzi mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Baraza la Watoto lilianzishwa mwaka 2002 likiwa na lengo la kuongeza ushiriki wa watoto katika ngazi mbalimbali za jamii kama mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto (CRC) ulivyoeleza ambapo Tanzania kama nchi mwanachama wa Umoja wa mataifa unapaswa kuutekeleza.
kila baada ya miaka 2 Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hufanya mabadiliko ya...
kila baada ya miaka 2 Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hufanya mabadiliko ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UhcQEJn1XYQ/VHn9rV-JTnI/AAAAAAAG0Qk/TtyPew4En98/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014
I:UTANGULIZI a)Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...
10 years ago
Michuzi03 Nov
10 years ago
VijimamboMHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN, JAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WASHINGTON DC 19/11/2014
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC na kufanya mazungumzo na wafanyakazi wa Ubalozi huo Ubalozini hapo Tanzania House. Katika mazungumzo yake hayo, Mhe. Chande aliwaeleza watumishi wa Ubalozi namna mihimili mitatu ya dola inavyofanya kazi pamoja na mipaka yake. Alibainisha kwamba Tanzania inajivunia mahusiano mazuri yaliyopo baina ya mihimili hiyo ambayo kutokana na misingi thabiti imekuwa ikifanya...
9 years ago
MichuziMKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA- UTPC MJINI MOROGORO
Hapa ni katika ukumbi wa Flomi Hotel mjini Morogoro ambako leo Ijumaa Novemba 06,2015 kunafanyika mkutano mkuu wa wanachama wa Muungano wa Klabu za waandishi wa habari Tanzania-UTPC wanakutana kujadili mambo mbali mbali ili kuboresha taaluma ya uandishi wa habari nchini Tanzania.Mkutano huo wa siku mbili unakutanisha wenyeviti wa klabu za waandishi wa habari Tanzania,makatibu na waweka hazina.Katika mkutano huo pia utafanyika uchaguzi wa rais wa UTPC na wajumbe wa bodi wa UTPC-Fuatilia picha...
10 years ago
VijimamboKAIMU MKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA RASMI BARAZA YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI MKOANI MOROGORO
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Hnc0O0Hxb4g/VlLWS7jQ51I/AAAAAAAIH7w/HMt_9a4LoNI/s72-c/IMGL0862.jpg)
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hnc0O0Hxb4g/VlLWS7jQ51I/AAAAAAAIH7w/HMt_9a4LoNI/s640/IMGL0862.jpg)
Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-h8VB6cIWwg4/VSbTQHd1uEI/AAAAAAAHP9Q/lqhpYwQkfEc/s72-c/unnamed%2B(77).jpg)
UZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MKOANI MOROGORO TAREHE 9 APRILI, 2015
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (MB) azindua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto mkoani Morogoro tarehe 9 Aprili, 2015. Baraza hili linafanya kikao chake cha siku mbili kuanzia tarehe 9 hadi 10 Aprili, 2015.
Baraza la Wafanyakazi linaundwa na wawakilishi wa wafanyakazi wote wa Wizara na wanachaguliwa kwa mfumo wa haki na uwazi. Baraza hili ni chombo muhimu sana kwani uhalali na uundwaji wake upo kisheria. ...
Baraza la Wafanyakazi linaundwa na wawakilishi wa wafanyakazi wote wa Wizara na wanachaguliwa kwa mfumo wa haki na uwazi. Baraza hili ni chombo muhimu sana kwani uhalali na uundwaji wake upo kisheria. ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania