ASANTENI WATANZANIA
Stori: mwandishi wetu ACHENI Mungu aitwe Mungu! Hatimaye mtoto Neema Joseph (2) aliyeteseka kwa uvimbe mkubwa wa jicho akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani iliyokuwa haijawa sugu, ameanza tiba na kupata ahueni ya hali ya juu na kuwashukuru Watanzania. Mtoto Neema Joseph alivyokuwa kabla ya kufanyiwa upasuaji Neema ambaye anaishi na mama yake Anastazia Yohana (28) katika Kijiji cha Bugomba, Kata ya Bulungwa wilayani Kahama,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Nov
Asanteni Watanzania kwa upendo wenu
RAIS Jakaya Kikwete juzi alikutana na kufanya mazungumzo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohammed Chande Othman na ujumbe wake ambao uko nchini Marekani kikazi. Aidha, Rais Kikwete amewashukuru Watanzania kwa maelfu ya salamu za upendo kwake zikimtakia heri aweze kupona, ambazo Rais amekuwa anapokea.
9 years ago
CCM BlogASANTENI WAKAZI WA DAR
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikweteakimnadi mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.
Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika...
11 years ago
GPLWANANCHI BUCHOSA: ASANTENI GLOBAL PUBLISHERS LTD
9 years ago
Bongo514 Dec
New Music: Mwana FA – Asanteni kwa Kuja
Hii ni ngoma mpya ya Mwana FA ‘Asanteni kwa Kuja’ iliyotayarishwa na Hermy B.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo505 Jan
New Video: Mwana FA – Asanteni Kwa Kuja
Foleni kubwa ya wasanii kuachia video zao mwisho wa mwaka jana 2015, yaweza kuwa sababu iliyomfanya Mwana FA aishikilie video yake kwa muda hadi baada ya mwaka mpya licha ya kukamilika mapema.
‘Asanteni kwa kuja’ ni wimbo mpya wa rapper Mwana FA aka Binamu alioutoa mwishoni mwa mwaka jana na kwenda Afrika Kusini kushoot video yake.
Sasa the wait is over, na tayari Binamu ameachia video hiyo iliyoongozwa na Alessio Bettocchi wa kampuni ya Studio Space Pictures ya Afrika Kusini. Itazame...
10 years ago
Vijimambo26 Oct
ASANTENI SANA KWA KUUNGA MKONO SHINA
Asante for last night. Your presence meant a lot to us.. Special needs children un Tanzania are better off today because of your you. Hope you enjoyed yourself. Stay blessed. J.mushala
9 years ago
Africanjam.ComNEW MUSIC: MWANA FA - ASANTENI KWA KUJA (Download)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB15 Mar
Asanteni sana Kigoma Kaskazini-Zitto Kabwe
Asanteni sana Kigoma Kaskazini
HOTUBA YA MH ZITTO KABWE (MBUNGE KIGOMA KASKAZINI) ILIYOTOLEWA LEO TAREHE 15 MACHI 2015
Zitto Kabwe .
Mwanamapinduzi na Rais wa zamani wa Burkina Faso Thomas Sankara alisema kuwa ili kuleta mabadiliko ya kimapinduzi ni lazima kuwa na hali fulani ya uendawazimu. Ila tusiufikirie uendawazimu huu wa kuokota makopo bali ule ukichaa mzuri wa kuamini katika mambo au misingi fulani na kuisimamia kwa dhati pamoja na changamoto nyingi.
Kwa kuamini kwa dhati katika...
9 years ago
Bongo501 Dec
Hermy B na Pancho kumleta Mwana FA na ‘Asanteni Kwa Kuja’
Mwana FA na Hermy B wakikutana hawajawahi kumiss zaidi ya kuhit!
Uzikumbuka ‘Habari Ndio Hiyo’, ‘Bado Nipo Nipo’, ‘Naongea Na Wewe’, ‘Msiache Kuongea’ , ‘Naona Nazeeka Sasa’ na ‘Nangoja Ageuke?’ Hizi zote zilipigwa nwa Hermy B kwenye studio za B’Hits na sasa wawili hao wanakuletea ‘Asanteni Kwa Kuja.’
FA ambaye amekuwa kimya tangu aachie ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Alikiba, anavunja ukimya kwa ngoma hiyo yenye kila dalili za kuja kuwa gumzo kama zilivyo ngoma zake nyingi.
Hermy B...