Asifu uhusiano wa Zanzibar na Comoro
MUFTI Mkuu wa Zanzibar, Shehe Saleh Kabi amesema Zanzibar inayo mengi ya kujifunza kutoka kwa ndugu zao wa Visiwa vya Ngazija, ikiwemo elimu ya dini ya Kiislamu ambayo wamepiga hatua kubwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Jul
Zanzibar, Comoro kutekeleza makubaliano
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza dhamira ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kati yake na Serikali ya Muungano wa Comoro wakati wa ziara yake aliyoifanya nchini humo Septemba mwaka jana.
11 years ago
Daily News14 Jan
Zanzibar, Comoro enhance ties
Daily News
Daily News
THE governments of Zanzibar and Comoro are committed to improving bilateral relationships, especially in the area of education for the benefit of citizens of the both countries. The two countries will also work together in agriculture, tourism, culture, industry ...
10 years ago
MichuziRAIS WA ZANZIBAR AENDELEA NA ZIARA YAKE COMORO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-w6ZsUY1J7Mg/VXfS779fpFI/AAAAAAAHeGc/YGt-DXAyTxg/s72-c/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
Zanzibar and Comoro signed MOU for business and trade development among the two countries
![](http://3.bp.blogspot.com/-w6ZsUY1J7Mg/VXfS779fpFI/AAAAAAAHeGc/YGt-DXAyTxg/s640/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-wD4tViBxhDg/VXfS79FdKmI/AAAAAAAHeGg/CFrI7lVRqzw/s640/unnamed%2B%25284%2529.jpg)
11 years ago
MichuziMshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro afanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro
10 years ago
Habarileo21 Jan
Shein: Uhusiano wa Russia na Zanzibar umenifurahisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amefurahishwa na uhusiano uliopo kati ya Russia na Zanzibar, ambapo nchi hiyo ilikuwa miongoni mwa nchi za mwanzo kuyatambua Mapinduzi ya mwaka 1964.
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Balozi Seif Ali Iddi asema uhusiano kibiashara Zanzibar na mataifa ya Ghuba kuimarika zaidi
Makamu wa Pili wa Rais na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Flydubai Bwana Sudhir Sreedhara aliyevaa miwani wakiangalia burudani ya ngoma ya Utamaduni Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya ndege ya Kampuni hiyo kutua kuanza safari zake kati ya Dubai na Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba mafungamano yaliyopo ya Kibiashara baina ya Zanzibar na Mataifa ya Ghuba na Mashariki ya mbali yatazidi kuimarika kufuatia...
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
JK asifu ushirikiano TZ na Afrika Kusini
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete amesifu uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini na kwamba haujawahi kuwa mzuri kama ilivyo sasa.
Amesema ni muhimu kwa Afrika Kusini kuendelea kuonyesha uongozi mzuri katika Ukanda wa Kusini mwa Afrika kwa sababu kwa kufanya hivyo,Afrika Kusini itakuwa inatimiza jukumu lake la kihistoria.
Rais Kikwete aliyasema hayo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati akiagana na Balozi wa Afrika Kusini hapa Tanzania , Thanduyise Henry Chiliza...
11 years ago
Habarileo19 May
Askofu asifu Katiba iliyopo
WAKATI mchakato wa mabadiliko ya Katiba ukitarajiwa kuendelea katika ngazi ya Bunge Maalumu la Katiba Agosti mwaka huu, Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu, amesifu Katiba iliyopo kwa kuunganisha Watanzania kwa miaka 50.