ASKARI MOSES ALPHAGE ALAMBA MILIONI 2 KWA BIDII YA KAZINI
Mfanyaakazi wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya Vodacom Albert Maneno (wa tatu kushoto) akiongea kabla ya kukabidhi Sh. milioni 2 kwa askari wa kikosi cha Usalama Barabarani Moses Alphage (wa kwanza kushoto) aliyeibuka kidedea katika programu ya kuibua hamasa ya kazi kwa askari hao jijini Dar es salaam iliyoendeshwa na kituo cha Redio Clouds FM. Fedha hizo zimetolewa na wafanyakazi wa Vodacom pamoja na wananchi mbalimbali walioguswa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Jun
Viwango vya askari akiumia kazini vyatajwa
KIWANGO cha juu cha fidia kwa polisi aliyepoteza maisha akiwa kazini ni sh. milioni 15 wakati kiwango cha fidia kwa aliyeumia kazini ni kati ya sh. milioni moja na milioni tano.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Perreira Ame Silima, alisema hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Saidi Zuberi (Fuoni-CCM), aliyetaka kujua viwango vya fidia kwa polisi wanaopoteza maisha wakiwa kazini na wanaoumia. Hata hivyo, Silima alisema viwango vinavyotolewa kwa polisi walioumia kazini...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Jeshi la Polisi: Vyeti feki vyawaondoa askari kazini ni uzushi
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera John Bulimba – SSP.
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo katika mitandao ya kijamii kwa lengo la kupotosha wananchi.
Miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na taarifa kuhusu Jeshi la Polisi iliyosambazwa jana katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari...
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Watu milioni 337 hupata ajali kazini
UTAFITI wa Shirika la Kazi Duniani unasema jumla ya watu milioni 337 duniani hupata ajali kila mwaka katika maeneo ya kazi na kati ya hao, milioni 2.3 hufariki dunia. Makamu...
10 years ago
Habarileo01 Apr
‘Tukatae umaskini kwa kufanya kazi kwa bidii’
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Dk Mary Nagu amewataka wananchi kuukataa umaskini kwa kufanya kazi kwa bidii ili kujenga taifa lenye watu wenye nguvu na uwezo wa kulitumikia.
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AJITAMBULISHA KWA WATUMISHI – AWATAKA KUFANYA KAZI KWA BIDII
9 years ago
Dewji Blog07 Jan
Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ajitambulisha kwa watumishi, awataka kufanya kazi kwa bidii
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil ambaye sasa ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, akiwaaga watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo pichani) katika mkutano uliofanyika katika Makao Makuu ya Wizara hiyo. Katikati ni Katibu Mkuu mpya wa Wzara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Hassan Simba Yahaya.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil ambaye sasa ni...
11 years ago
BBCSwahili06 Oct
Victor Moses nje kwa jeraha lengine
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Punda watuzwa kwa uaminifu na bidii