ASKOFU CHARLES GADI AFANYA MAOMBI MAKUBWA NCHINI INDIA KUOMBA KUPUNGUA KWA JOTO.
Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for all Ministry akiwa katika matukio tofauti wakati akifanya maombi makubwa katika mji wa Hydrabad nchini India ili joto lipungue kwani tayari limekwisha uwa watu 2500 kutoka na kupanda hadi kufikia kiwango cha joto centgrade 50. Maombi yakiendelea.
Na Dotto MwaibaleASKOFU Charles Gadi wa Huduma ya Good News for all Ministry akifanya maombi makubwa katika mji wa Hydrabad nchini India ili joto lipungue kwani tayari limekwisha uwa watu 2500 kutoka...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziGADI KUFANYA MAOMBI NCHINI INDIA.
9 years ago
MichuziAskofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo
Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili
Askofu Gadi akivikwa kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote...
9 years ago
MichuziMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
Askofu Charles Gadi akitoa historia yake katika ibada yake ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Good News for All baada ya kusimikwa rasmi katika kanisa hilo la Mapinga Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani hivi karibuni.Wazee wa kiroho wa Askofu Gadi wakiwasalimia waumini katika ibada hiyo.Rais wa Makanisa ya Kipentekosti Afrika, Dk.Athar Gitonga (kushoto), akimkabdidhi fimbo ya Uaskofu, Askofu Gadi wakati wa ibada hiyo ya kuzimikwa kuwa Askofu wa Makanisa hayo.Hapa akikabidhiwa...
9 years ago
GPLMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
10 years ago
VijimamboASKOFU CHARLES GADI, AONGOZA IBADA YA KUMUOMBEA RAIS JAKAYA KIKWETE NAFUU YA HARAKA
9 years ago
MichuziASKOFU CHARLES GADI AONGOZA UMOJA WA MAKANISA YA DODOMA KUMUOMBEA RAIS DK.JOHN MAGUFULI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
10 years ago
Dewji Blog28 May
Takriban watu 1000 wamekufa kutokana na wimbi la joto linalovuma nchini India.
Watafiti wamesajili kiwango cha juu mno cha nyuzijoto 48’C katika maeneo mengi nchini humo ambapo vifo vingi zaidi vimeripotiwa katika majimbo ya kusini ya Telangana na Andhra Pradesh, ambapo watu 140 wamepoteza maisha yao kuanzia jumamosi wimbi hilo la joto lilipotokea hata hivyo hadi kufia leo Mei 27, tayari zaidi ya watu 1,000, wamelipotiwa kupoteza maisha yao.
Mji wa Allahabad ulioko Uttar Pradesh ulisajili vipimo vya nyuzijoto 48C huku wakaazi wa mji mkuu wa India New Delhi...
10 years ago
VijimamboIDADI YA VIFO VINAVYOTOKANA NA JOTO KALI NCHINI INDIA VIMEPITA ZAIDI WATU 1,000
5 years ago
MichuziKAMATI YA BAJETI YAELEZA ILIVYOKUWA IKIWASILISHA MAOMBI KWA SERIKALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO KUOMBA KUONDOLEWA USHURU KWENYE CHUPA ZA MVINYO
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kupitia kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Mashimba Ndaki amesema kwa miaka mitano sasa kamati hiyo imekuwa ikiwasilisha maombi serikalini ya kuondoa ushuru wa bidhaa kwa chupa zinazotumika kwa ajili ya kufungashia mvinyo unazalishwa nchini.
Akizungumza leo Juni 15,2020 Bungeni Mjini Dodoma Ndaki amesema kwa sasa chupa zinazoingizwa nchini zinatozwa ushuru wa bidhaa kwa asilimia 25, pamoja na tozo nyingine za serikali na hivyo...