GADI KUFANYA MAOMBI NCHINI INDIA.
Askofu wa Kanisa la Good News for all Ministry,Charles Gadi akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani ,juu ya maandalizi ya mkutano wa maombi nchini India akizungumza katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo ,kushoto ni katibu wa Palemo Massawe wa Kanisa la Good News for all na kulia ni mjumbe wa wa Kanisa la Good News for all Fabiani Msimbe.
Mjumbe wa wa Kanisa la Good News for all Fabiani Msimbe, akifafdanua jambo juu ya kuongezeka kwa joto duniani na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboASKOFU CHARLES GADI AFANYA MAOMBI MAKUBWA NCHINI INDIA KUOMBA KUPUNGUA KWA JOTO.
Na Dotto MwaibaleASKOFU Charles Gadi wa Huduma ya Good News for all Ministry akifanya maombi makubwa katika mji wa Hydrabad nchini India ili joto lipungue kwani tayari limekwisha uwa watu 2500 kutoka...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Kanisa kufanya maombi siku 40
KATIBU Mkuu wa Kanisa la Kipentekoste nchini, Askofu David Mwasota, amesema kanisa hilo linatarajia kuanza maombi ya siku 40 ili kuhakikisha masuala mbalimbali yanayolikabili taifa yanapata muafaka likiwepo suala la...
9 years ago
MichuziMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
9 years ago
GPLMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India
Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar
Wizara ya...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-s5XnMV2bWb0/XsY47PIpDpI/AAAAAAAC5wU/YaxMwVqDm14ZW6bxrLJV10uPlbjK0EEbwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WATANZANIA KUFANYA MAOMBI KITAIFA SIKU TATU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTULINDA DHIDI YA JANG LA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-s5XnMV2bWb0/XsY47PIpDpI/AAAAAAAC5wU/YaxMwVqDm14ZW6bxrLJV10uPlbjK0EEbwCLcBGAsYHQ/s1600/1.jpg)
Maombi hayo ya siku tatu, (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili (Tarehe 22-24 Mei, 2020) yanafuatia wito wa Rais John Magufuli kupitia Hotuba yake aliyoitoa Jumapili ya tarehe 17 Mei, 2020 wakati akitoa takwimu za Corona katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Rais Magufuli aliwahimiza Wananchi katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Az0oXj74tuc/Xo2P-K7fGPI/AAAAAAALmd0/4TfBJLEc47I0IJKpJ2ayJRRlvR-yiEmjACLcBGAsYHQ/s72-c/a68ad77e-313a-4535-aad7-de1fef0f2bdb.jpg)
MKURUGENZI JIJI LA DODOMA ATANGAZA MFUMO MPYA WA KUJAZA MAOMBI YA KUFANYA BIASHARA KWENYE MIRADI YA KIMKAKATI
Charles James, Michuzi TV
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetangaza kutumia mfumo wa malipo mtandao kwa wananchi kujaza fomu za kuomba nafasi za kufanya biashara kwenye miradi minne ya kimkakati ya Stendi ya Mabasi na Malori, Soko Kuu na eneo la Mapumziko la Chinangali.
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema wamefanya mabadiliko hayo ikiwa ni siku mbili watangaze kuanza kutoa fomu kwa wananchi wanaotaka kuwekeza kwenye miradi...
10 years ago
Dewji Blog27 Dec
NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...