Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanisa kufanya maombi siku 40

KATIBU Mkuu wa Kanisa la Kipentekoste nchini, Askofu David Mwasota, amesema kanisa hilo linatarajia kuanza maombi ya siku 40 ili kuhakikisha masuala mbalimbali yanayolikabili taifa yanapata muafaka likiwepo suala la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WATANZANIA KUFANYA MAOMBI KITAIFA SIKU TATU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTULINDA DHIDI YA JANG LA CORONA

  Watanzania kesho (22/05/2020) wanaanza maombi ya kitaifa kwa siku tatu mfululizo kila mmoja kwa imani yake ili kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua iliyofikiwa katika mapambano dhidi ya Janga la Corona.
Maombi hayo ya siku tatu, (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili (Tarehe 22-24 Mei, 2020) yanafuatia wito wa Rais John Magufuli kupitia Hotuba yake aliyoitoa Jumapili ya tarehe 17 Mei, 2020 wakati akitoa takwimu za Corona katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Rais Magufuli aliwahimiza Wananchi katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku ya mwisho wakaribisha watu mbalimbali katika Kanisa lao

IMG_0152

Kiongozi wa shule ya Jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi akiwapatia maelezo mbalimbali kwa watu waliotembelea kanisa hilo wakati wa siku ya wazi kwa ajili ya watu mbalimbali kuangalia shughuli zinazofanywa na kanisa hilo.

IMG_0131

Mwakilishi wa Darasa la Mkono msaidizi wa akina mama Happy Ayubu akitoa maelezo kwa watu waliotembelea kanisa hilo.

IMG_0134

Baadhi ya watu waliotembelea kanisa hili wakipata maelekezo mbalimbali.

IMG_0110

Baadhi ya watu waliotembelea...

 

10 years ago

GPL

ASKOFU WA KANISA LA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY ASEMA MAOMBI YAO MUNGU, AMETENDA!

Askofu Charles Gadi (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Viongozi wa kanisa hilo wakiomba kwa pamoja baada ya kumaliza kuongea na wanahabari.
Wanahabari wakichukua tukio. ASKOFU wa Kanisa la Good News For all Ministry,  Charles Gadi amesema maombi yao yaliyofanyika kwa takribani siku 1000 kwa ajili ya …

 

10 years ago

Michuzi

GADI KUFANYA MAOMBI NCHINI INDIA.

 Askofu wa Kanisa la Good News for all Ministry,Charles Gadi akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani ,juu ya maandalizi ya mkutano wa maombi nchini India akizungumza  katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo ,kushoto ni katibu wa Palemo Massawe wa Kanisa la Good News for all na kulia ni mjumbe wa wa Kanisa la Good News for all Fabiani Msimbe.Mjumbe wa wa Kanisa la Good News for all Fabiani Msimbe, akifafdanua jambo juu ya kuongezeka kwa joto duniani na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siku ya Mashujaa yatawaliwa na maombi ya katiba

MAADHIMISHO ya Siku ya Mashujaa jana yalitawaliwa na maombi kutoka kwa viongozi wa dini ya kuiombea serikali na mchakato wa katiba unaoendelea nchini. Katika maadhimisho hayo ambayo yaliongozwa na Rais...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mandela:Siku ya maombi Afrika Kusini

Wananchi na viongozi wa Afrika Kusini wanashirki maombi ya kitaifa ya kumuenzi na kumkumbuka hayati Nelson Mandela

 

11 years ago

GPL

LEO NI SIKU YA MAOMBI AFRIKA KUSINI KUMKUMBUKA MANDELA

Binti akiwa na mshumaa wakati wa ibada ya maombi ya kumkumbuka Nelson Mandela katika kanisa la Regina Mundi lililopo Soweto, Afrika Kusini leo. Waumini wakiwa katika ibada ya maombi ya kumkumbuka Nelson Mandela katika kanisa la Methodist mjini Johannesburg leo. (Picha na Reuters) Wananchi wa Afrika Kusini leo wanashirki maombi ya kitaifa ya… ...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI JIJI LA DODOMA ATANGAZA MFUMO MPYA WA KUJAZA MAOMBI YA KUFANYA BIASHARA KWENYE MIRADI YA KIMKAKATI


Charles James, Michuzi TV

HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetangaza kutumia mfumo wa malipo mtandao kwa wananchi kujaza fomu za kuomba nafasi za kufanya biashara kwenye miradi minne ya kimkakati ya Stendi ya Mabasi na Malori, Soko Kuu na eneo la Mapumziko la Chinangali.

Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema wamefanya mabadiliko hayo ikiwa ni siku mbili watangaze kuanza kutoa fomu kwa wananchi wanaotaka kuwekeza kwenye miradi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani