Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKOFU MAMA RWAKATARE AZIKWA KANISANI KWAKE MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM, LEO


Baadhi ya Waombolezaji wachache wakiwa katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Morogoro Askofu Mama Getrude Rwakatare yaliyofanyika kwenye kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B jijini Dar es Salaam, leo

MIKOCHENI, Dar es Salaam
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Morogoro na Kiongozi wa Kanisa la Mikocheni B Assembly of God (Mlima wa Moto), Askofu Mama Getrude Rwakatare amezikwa leo katika Kanisa lake hilo lililopo Mikocheni B, jijini Dar es Salaam.

Mazishi hayo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DKT GETRUDE RWAKATARE AZIKWA KANISANI KWAKE MIKOCHENI B

Sanduku lenye mwili wa Askofu na Mbunge wa Viti maalum CCM Mkoa wa Morogoro mama Getrude Rwakatare likiwa tayari kuingizwa kaburini huku likiwa limefunikwa bendera ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B jijini Dar Ea salaam leo.

Baadhi ya Waombolezaji wachache wakiwa katika mazishi ya aliyekuwa Askofu na mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Morogoro Mama Getrude Rwakatare yaliyofanyika kwenye kanisa la Mlima wa Moto...

 

11 years ago

Michuzi

Marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti azikwa leo Kisutu, Dar es salaam

 Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na viongozi wengine na waombolezaji wakiwa katika mazishi ya marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam jioni hii. Marehemu, ambaye ni mdogo wa Hajat Mwantumu Malale, Dkt. Asha-Rose Migiro, Balozi Radhia Msuya, alifariki jana  Shughuli za mazishi zikiendelea  Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali akiweka udongo kaburini  Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi...

 

10 years ago

Michuzi

HAJAT KIJAKAZI SALUM KYERULA AFARIKI DUNIA, MSIBA UPO MIKOCHENI VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM, KUZIKWA LEO MTONI KIJICHI


Mmoja wa waasisi na viongoizi wakongwe wa CCM Hajat Kijakazi Salum Kyerula amefairiki dunia  jijini Dar es salaam jana. Taratibu za mazishi  zinafanyika mikocheni eneo la Victoria karibu na Oil com pamoja na hospitali ya Kairuki,  jijini Dar es salaam. Swala ya maiti itafanyika hapo hapo Mikocheni sambamba na swala ya Ijumaa na baadaye  maziko yatafanyika Mtoni Kijichi, kwenye makaburi ya  njia panda ya Neruka.

WASIFU WA MAREHEMU

HAJAT KIJAKAZI SALUM KYELULA NA RATIBA YA MAZISHI


Hajat  KIJAKAZI...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Uingereza na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo.Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, kuhusiana na masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika...

 

9 years ago

Michuzi

MWAKILISHI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (katikati) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) wakati wa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ubalozi wa Marekani na wizara. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) pamoja na wasaidizi wa balozi huyo, kuhusu masuala mbalimbali ya...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA NORWAY NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Norway nchini, Hanne-Marie Kaarstad masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Norway na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo.  Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Balozi wa Norway nchini, Hanne-Marie Kaarstad (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, kuhusu masuala mbalimbali ya...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA KUWAIT NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini,  Jasem Ibrahim Al-Najem  kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait  na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo.  Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Ibrahim Al-Najem  (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait  na Tanzania. Mazungumzo hayo...

 

10 years ago

Michuzi

Lowassa amjulia hali askofu mkuu ruzoka hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam leo

Waziri mkuu mstaafu  na mbunge wa Monduli Mh edward Lowassa akimjulia hali leo hii askofu mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar es salaam alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora.Mwenye shati jeupe ni Bishop Gwajima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani