DKT GETRUDE RWAKATARE AZIKWA KANISANI KWAKE MIKOCHENI B
Sanduku lenye mwili wa Askofu na Mbunge wa Viti maalum CCM Mkoa wa Morogoro mama Getrude Rwakatare likiwa tayari kuingizwa kaburini huku likiwa limefunikwa bendera ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B jijini Dar Ea salaam leo.
Baadhi ya Waombolezaji wachache wakiwa katika mazishi ya aliyekuwa Askofu na mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Morogoro Mama Getrude Rwakatare yaliyofanyika kwenye kanisa la Mlima wa Moto...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogASKOFU MAMA RWAKATARE AZIKWA KANISANI KWAKE MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM, LEO
Baadhi ya Waombolezaji wachache wakiwa katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Morogoro Askofu Mama Getrude Rwakatare yaliyofanyika kwenye kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B jijini Dar es Salaam, leo
MIKOCHENI, Dar es Salaam
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Morogoro na Kiongozi wa Kanisa la Mikocheni B Assembly of God (Mlima wa Moto), Askofu Mama Getrude Rwakatare amezikwa leo katika Kanisa lake hilo lililopo Mikocheni B, jijini Dar es Salaam.
Mazishi hayo...
5 years ago
CCM Blog5 years ago
Michuzi11 years ago
Habarileo02 Jul
Nkwabi Ng’wanakilala azikwa shambani kwake
WANATAALUMA wa Tasnia ya Habari na wakazi wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza kwa wingi katika maziko ya nguli wa tasnia ya habari, Nkwabi Ng’wanakilala aliyezikwa shambani kwake Kibamba CCM katika Manispaa ya Kinondoni.
9 years ago
MichuziMWENYEKITI wa chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila azikwa kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa
Mhe. Deo Filikunjombe akiongea wakati wa mazishi ya Mwenyekiti wa chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe leo Mhe DeomFilikunjombea akitoa mkono wa pole kwa wafiwa katikati ni mjane Mama Georgina Mtikila. Waombolezaji wakiwa msibani Mhe Deo Filikunjombe na...
5 years ago
Michuzi9 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZOKUFUATIA KIFO CHA WAZIRI CELINA KOMBANI MIKOCHENI
10 years ago
MichuziMheshimiwa Dkt Augustine Lyatonga Mrema ahutubia mkutano wa hadhara jimboni kwake vunjo
Katika jimbo hilo la Vunjo kumekuwepo na Mvutano mkubwa wa kuliwania katika uchaguzi mkuu wamakani ambapo kwa vyama vya CCM tayari kijana Innocent Shirima ameshatangaza nia kama alivyofanya Mh. James Mbatia wa ...
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Dkt. John Pombe Magufuli atikisa jimboni kwake, wananchi waibua shangwe kila kona ya mji