Audio & lyrics: Izzo Bizness - Walala Hoi
Walala Hoi ndo jina la wimbo kutoka kwa Izzo Bizness, Produced Duppy [Switch records] WALALA HOI lyrics Intro: Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi Chorus: Walala hoi sisi ndio Walala hoi (Walala hoi) x 4 moja haikai mbili haikai mbaya wako ni jirani babu (Walala hoi) x 4 Verse 1: Tunaunga unga maisha yetu ni safari bado tunataabika (Walala hoi) / tunakomaa maisha ni safari imani ipo bado sisi mbali tutafika (Walala hoi) / tumazaliwa kwenye njaa njaa imetulea sisi home mali hatujakuta...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Izzo Bizness katuletea zawadi ya Christmas, wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2’- Feat. Navio & Mwasiti.. (+Audio)
Rapper kutoka Mbeya City ambaye leo December 25 2015 anasherehekea pia siku yake ya kuzaliwa… Happy BIRTHDAY na kila la kheri mtu wetu Izzo Bizness.. umetimiza miaka mingapi leo ?!! Okay, tuachane na hilo la umri wa Izzo… Christmas hii Izzo kaona aangushe kitu kizuri kushare na watu wake wote, kwa maana nyingine hii ndio […]
The post Izzo Bizness katuletea zawadi ya Christmas, wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2’- Feat. Navio & Mwasiti.. (+Audio) appeared first on...
9 years ago
Bongo525 Dec
New Music: Izzo Bizness f/ Navio & Mwasiti – Walala Hoi (Part 2)
Christmas ni siku ambayo Izzo Bizness anasherehekea siku ya kuzaliwa na ameamua kutoa zawadi kwa mashabiki wake. Ni part 2 ya wimbo wake Walala Hoi aliowashirikisha Navio na Mwasiti.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo523 Sep
Adam Juma ampongeza Izzo Bizness kwa kutaja gharama halisi aliyotumia kwenye video ya ‘Walala hoi’, M 1.4
9 years ago
Bongo513 Oct
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na Izzo Bizness
9 years ago
Bongo518 Dec
Video: Izzo Bizness Ft Mwana FA & G-Nako – Shem Lake
Rapper kutoka Mbeya City Izzo Bizness ameachia video yake mpya ya wimbo “Shem Lake”, amewashirikisha Mwana FA na G-Nako, Video imeongozwa na Khalfani Khalmandro.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo506 Oct
New Music: Izzo Bizness f/ Mwana FA & G-Nako – Shem Lake
9 years ago
Global Publishers18 Dec
9 years ago
Bongo516 Oct
Music: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole & Shaa – Pga Chata
9 years ago
Bongo515 Oct
Video: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole, & Shaa – Piga Chata